Hivi hii hali hutokea kwa mama wajawazito wote?

SALUM S HEMED

JF-Expert Member
Mar 4, 2016
1,437
1,861
Mke wangu toka siku tujue kuwa mimba imenasa dah papuchi naisikia ktk redio tu nikavumilia nikajua mimba changa na kwel ilikuwa inamkimbiza kutapika kila siku..nw ina mwezi 7 inakwenda wa 8 ile hali ya kutapika na kuumwaumwa imepotea toka mimba ina mda wa 3-4 month...ila issue ya kupewa papuchi imekuwa ni tatizo vile vile mpaka nilalamike sana na nikipewa anataka katelelo tu na ni bao 1 tu....hivi hii hali uwatokea mama wajawazito wote au wangu tu??? Nw na 2years ktk ndoa cjawai kuchepuka na sina lengo ilo ila kipndi iki kiukweli nazidiwa...
 
Kati ya vipindi ambavyo wanaume tunapitiaga mauzauza kwa wake zetu ni kipindi wakiwa wajawazito....Wewe kama ni ndoa tu unanyimwa lakini hata unapikiwa, Perfume zako hazipasuliwa, hujamwagiwa maji ya ukoko, Hujaamshwa saa nane usiku kwenda kumtafutia pepsi baridi...Shukuru Mungu mno na kama kitu ishaenda miezi 8 safari iko ukingoni hiyo....Na baadhi ya wanawake wengine huwa nahisi wana-take advantage ya ujauzito kuzingua...
 
Hormones zinavurugika sana,yani huna hamu hata kidogo,lakini pia mtu anachosikia ungekua unasikia wewe aisee ungekua ushakufa hebu muombe Mungu usikie japo kwa siku moja tu
 
Wanawake walio ktk ndoa hu take advantage tu! Sababu ya kutaka full attention! Imagine wale students na wengine walio na mimba za kujificha ambao tunapata surprise keshazaa ama chooni au vichakani na kutupa watoto huko huko alipomzalia! Hawakeri wala hawamsumbui mtu wala hawapigi makelele wakati wa kujifungua! Hizo ni show tu kwa wale walioolewa
 
Back
Top Bottom