Kweli mkuu watu wote ninaowafaham waliokuwa wanajihusisha na hii kitu ni wale waliokata tamaa, wamechoka alaf wabishi wakiamini kwa dhati kua ni biashara nzur kitu ambacho sio kweli.
naomba nisamehewe kwa wote walionifata pm wakitaka kujua zaid baada ya kukomenti hapo juu kwamba 'inalipa balaa, njoo pm' nilikoment hivyo sbb sikuona usiriazinesi wa mleta mada labda sbb ya uelewa wangu mdogo.
Mkuu Zanzibar spices naomba siku nikipata wasaa nikutembelee hasa kwaishu ya spices ninayo dream ya kuja kuifanya hiyo biashara siku za mbeleni Mungu akipenda.