TYRANNOSAURUS REX
Member
- Aug 12, 2013
- 10
- 2
HAWA NAO VIPI?
NIMEAMINI: Wabongo ni 'unbwogable' na 'they are very good at bwoging the bwogas'!
Mbuzi kisha wekwa kibla, tayari kuchinjwa!!
Sasa watazirai kikwelikweli.
Hahahaha!
Mkuu KVM, hii ya watu kuzimia katika eneo ambalo ni la wazi na kuna hewa ya kutosha, lilichekesha watu wengi. Maana yalikuwa ni mazingaombwe ya kiwango duni mpaka watu walishtukia.
Is it that hard to follow?​If you close your eyes to facts, you will learn through accidents ........................... SOME GENIUS!
Na Wahaya ni kati ya makabila yenye wasomi wengi. May be anakubalika kwao na amewaletea maendeleo. Unafikiri wao ni wajinga kumchagua tena?Hizo zilikua biti tu...
Sina shida na MaPadlock kuingia, infact napenda aingie..
Shida yangu ni moja tu... Hivi nani mwenye akili timamu kaenda kumpigia kura ANNA TIBAIJUKA arudi bungeni?? Kweli watanzania wameniacha hoi. Bongo ni ya kukimbia aisee
Hao kinadada walikumbwa na mapepo, hulioni zee limekuwa zezeta kwa kubebeshwa mizogo iliyomzidi kimo, eti imsaidie kuwa rais.
Na Wahaya ni kati ya makabila yenye wasomi wengi. May be anakubalika kwao na amewaletea maendeleo. Unafikiri wao ni wajinga kumchagua tena?
Hali inatisha sana. Walijazana kuona Chopa lakini KURA wakampa #HapaKaziTu.
Wengine walimtia moyo wakadeki hadi barabara na wakamulinda pale alipokuwa analala pindi anafanya kampain lakin kura wamemnyima
na aliweza kuamini kuwa watampa kura zote
Loo!! Kwa hari hii lazima kumuume sana
Ila hana namna inabidi akubari kiroho safi.
Hao ndio WaTZ Mkuu atakupa yote lake (la moyoni) hakupi
Mmesahau kwamba Lowassa ana degree ya Sanaa.