Hivi haya maneno,why........?!?!?!

super thinker

JF-Expert Member
Nov 16, 2010
370
109
Haya intimate names kama bby, b, d, darling, swry, kpnz, swthrt, na mengine meeeeeengi.....unaweza yatumia kwa mtu yeyote yule regardless ni mwenzio wa moyo ama la?!?!
gf wangu anatumia sana kwa baadhi ya vijivulana mpaka baadhi ya ndugu zake, sipendi na anajua nakereka, anadai amepunguza but nimembamba bado anatumia!!
hivi ni kawaida tu kuyatumia just any how ama ni kwa ""your next of heart""
Submitted........mwongozo tafadhali!!
 
isikutie hofu kaka, wengine huwa wamekariri tu maneno hayo kutumia kwa kila mtu...ila kama hupendi ukiona akiita wengine namna hiyo kwa sababu labda ya wivu, basi mwambie kwa kumuelewesha tu ili ajue hisia zako ziko vp katika suala hilo, na hapo uende naye slowly but surely, atakuelewa tu na utafurahia uhusiano wako Inshaallah!
 
Msikilize kwa makini inawezekana wewe umekuchagulia lako pekee. Hivyo vijivula ni sehemu ya maisha yake, kukupenda wewe isiwe ndo ulimwengu wake wote aliouzoea ubadilike ghafla.
 
hayo maneno yanaweza tumika kwa watu wengine sio lazima bf/gf only,,,,,mie huwa nayatumia sana coz maana zake huwa ni za kawaida sana bt ikiwa kwa mupenzi maana yake huwa ya tofauti kidogo,,,so ickutishe sana...kwasbb amezoea ataacha taratibu,
 
Kuna kakangu ananiitaga baby. Hata mbele ya mkewe. Of coz na kuniambia ananipenda sana mbele ya yeyote.
Well, ni kautamaduni tu, acha ukurya!
 
Kuna kakangu ananiitaga baby. Hata mbele ya mkewe. Of coz na kuniambia ananipenda sana mbele ya yeyote.
Well, ni kautamaduni tu, acha ukurya!

Kama ni kaka wa kweli ni sawa na wala haina shida.. Ila kama ni rafiki tu wa kawaida aisee mi sikubali King'asti. Si unajua mambo ya vivu
 
mkuu mi nimezungukwa na hao ndugu ila kuna kamoja kananiita mpenz mi mpakanashtuka alafu ame relax mbele za wazee. Kama vp tuendele kuwakanya kibongo sioni kama nipo kvile
 
Kuna wenza wanaaminika ndugu! Unaweza kumuacha na mtu na kuwa comfortable tu na usiwe na wasiwasi.

Na huyo sio kaka wa damu, ni a very close family friend with a history!
Kama ni kaka wa kweli ni sawa na wala haina shida.. Ila kama ni rafiki tu wa kawaida aisee mi sikubali King'asti. Si unajua mambo ya vivu
 
Kaa nae umueleweshe tena jinsi ulivyo na wivu, atakuelewa.

Ni majina tu
 
Kuna wenza wanaaminika ndugu! Unaweza kumuacha na mtu na kuwa comfortable tu na usiwe na wasiwasi.

Na huyo sio kaka wa damu, ni a very close family friend with a history!


Ni kweli wapo ila ni wachache sana kwa sasa.
 
To my experience girlz wanatabia au tunatabia sana ya kuitana dia,mpenz, rafiki, baby, sweery, swilo-sweetheart, mchumba, darling,heartbeat, mahabuba, mahabat, kachumbari, kitafunio, pipi na majina mengine au yoote mazuri kumuita umpendaye au aliye bennet nawewe. Ila huwa tunaliita kimdomo tu kwa same sex yaani gals to gals na ikiwa the opposite sex yaani kwa boys kwanza sauti hubadilika na tonation na kuliita baby ni tofauti na nitakavo muita mschana mwenzangu. Pia kama namuita mwanaume au mvulana YOYOTE YULE one of these names itasound tofauti na nitakavomuita yule yule mwenyewe mwenyewe wa ukwee lol so uspate wivu sanaaa
we hujiulizi kwanini gals wakikutana barabarani au mahali watasabihiana kwa kuhug na kukiss kwenye mashavu hata midomoni NOTE sio kunyonyanya ndimi mh mh hii ni kawaida sana na wakikutana na mvulana YEYOTE wanaweza mhug na kiss ya shavu moja au kote meaning nothing at all hii ni kawaida ILA akikutana na MWENYEWE YULE looh unajua inakuweje sielezei hapo iwe public, faragha
JE kwa nini wanaume huwa hawakiss each other hata on chick kama salamu au kutembea barabarani mwanaume kwa mwanaume wakiwa wameshikana mikono au kushikana viuona like gals used to do.????
 
Back
Top Bottom