Hivi hawa wanawake wanataka nini?

Wewe hapo ni Mock exam anachukua tu mazoezi akijiandaa kukutana na Final exam. Period!!
(Naandika huku nacheka)
On a serious note zaidi ya kumpa pesa na Ku*** unafanya nini cha ziada as a man?
Mshirikishe kwenye mambo yako, panga nae long term plans na muonyeshe kua upo serious nae wataka kumuoa. Inawezekana anaona unamtumia tu ndo maana.
Fanya vitu vinavyoonyesha unataka kufanya nae maisha. Ndugi zake unawafahamu? Wa kwako anawajua? etc
Saa nyingine mnajisahau inawezekana anatingisha kibiriti.
 
yaan mkuu hayo yote nilipanga na nikamwambia lakin hanielew
 
And you know just what I'm talking about, tomorrow you'll be calling out
'Cause tonight we getting right into the wee morn'
Cooking nigga breakfast after sex is like a reward
Then I go my way and you think about me all day, thats just a warning

And can I hit it in the morning
And can I hit it in the morning
And can I hit it in the morning
The sun rising while you moanin'
 
Jiongeze mkuu huyo anakutumia tu km kitega uchumi yan ni kama msafiri tu anaesafiri safari ya mbali amefika mahala amepumzika anavuta upepo, mda si mrefu ataendelea na safari yake.
Piga chini
 
Tia ujauzito, wanakuwaga na maruhani ya uzazi pale wanapokuwa hawajawahi shika ujauzito
 
mkuu ondoka mara moja, kama kapata ujasiri wa kukwambia hayo mbele yako hatoshindwa kukwambia muachane, na jua wazi kuwa hapo anakutumia tu ila akipata wa ndoto yake atakumwaga bila huruma....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…