Hivi hawa wanawake wanataka nini?

Ndio maana nikaamua kumpa dogo dedication, sio kila kitakachokuja kwa sura nzuri mwisho wake utakua mzuri....ajiandae kwa mema na mabaya! Kumbe wewe ni mpenzoi wa gospel
 
Mkuu hebu toa hio kozi hapa ya jinsi ya kua kidume kwenye mahusiano ili wengi tufaidike
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…