Hivi hawa wana akili nzuri kweli??!

Hivi hawa wana akili nzuri kweli??!

Joined
Jun 29, 2013
Posts
38
Reaction score
1
Quote from"TIGO","Samahani ndugu mteja,namba yako haijasajiliwa,tafadhali tembelea ofisi zetu zilizo karibu nawe kabla ya July15 ili kuepuka kufungiwa laini yako.".Sasa mbona nilishasajili tangia mwaka juzi kwenye ofisi hizo izo,so siwaelewi wanamaana gani.
 
Ukianza kujistress nao utapata kichaa. Weeh pita mlimani hapo uone watoto wazuri huku unasajiliaa upya.
 
Wengi sana wamepata hiyo SMS Alert...
 
Quote from"TIGO","Samahani ndugu mteja,namba yako haijasajiliwa,tafadhali tembelea ofisi zetu zilizo karibu nawe kabla ya July15 ili kuepuka kufungiwa laini yako.".Sasa mbona nilishasajili tangia mwaka juzi kwenye ofisi hizo izo,so siwaelewi wanamaana gani.

,Hivi umeielewa topic vizuri?.Ithink you are out of topic.
 
Back
Top Bottom