Hii ndio gharama ya umasikini wa akili. Hawa wanalipia t-shirt na kanga za bure walizopewa. Haiwezekani katika akili ya kawaida wewe ubebe bango lenye ujumbe huo mbele ya watu walioonyesha sura za kukata tamaa nanma hii
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.