Hivi hawa wakiamua si wanaweza?

Hizo ni zile bhangi wa2 huzvtia mafichoni........!
Kaka, nimecheka sana. Mie nilidhani utawatia moyo. Sasa kumbe walikuwa wanabishana wakafikia uamuzi wamtwishe huyo aliyevaa kitambaa kikubwa cheupe. Daaaah
 
Imenikumbusha stori ya wavuta bangi watatu kichakani walioishiwa kibiriti wakamtuma mwenzao kwenda kutafuta maana mzigo wa bangi ulikua mwingi...mwenzao akazunguukaaa weee akajikuta katokea palepale wenzake walipokaa akawauliza masela mnakiberiti? Wakamjibu hata sisi kimeisha tumemtuma jamaa kutafuta. Nae akasema wacha basi namimi nisubirie..akakaa
 
Daaaah anko nimecheka hadi basi duuuuh
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…