Tinde nsalala
JF-Expert Member
- Feb 12, 2017
- 248
- 253
Tokea juzi baada ya ziara ya mh Rais kumekuwa na ucheleweshwaji wa makusudi kabisa ktk mfumo mzima wa ukaguzi na upakizwaji wa mzigo ktk malori.Kwa mfano,ukaguzi hasa geti namba nane yanapoingilia malori kuelekea eneo la kupakia makontena,wakaguzi wamekuwa wakiomba rushwa ya wazi wazi kwa madereva ili waweze kuwaruhusu kupitia kwa haraka na wale wasio na pesa wamekuwa wahanga na ama kusubilishwa au kutafutiwa makosa yasiyo na mashiko na yanayo hutaki busara tu ktk kuamua.
Ndani napo operator wamekuwa wakijiweka busy na kupanga kontena na kutopakia kwa na wakati malori hasa yaliyopo ktk foleni nao wao mara wapewapo rushwa huruka malori yote yasiyo wapa rushwa na kuelekea kupakia lori lililoonyesha ushirikiano wa aina hiyo.Mwisho foleni huwa ndefu bila sababu ya msingi!
Mamlaka husika tafadhali shughulikieni hiyo kero.Usumbufu km huo husababishwa na watendaji wenu kwa kutoka kujinufaisha wao na bila kujali athali zitokanazo na uzembe wa aina hiyo.