dubwa
Member
- Jan 1, 2018
- 19
- 4
Hawa tcu ni wasengerema sana kumamamae zao sana wanataka kuwafelisha watoto kabisaaaWamenitumia code Jana usiku Leo naingiza naambiwaView attachment 856510
Sent using Jamii Forums mobile app
Hawa tcu ni wasengerema sana kumamamae zao sana wanataka kuwafelisha watoto kabisaaa
Sent using Jamii Forums mobile app
Japo wengine wamebahatika kutumiwa, wengine hatujatumiwa kabisa.Kiongozi, kuweni na subira, naamini kwa 100% wanafunzi wote wenye multiple admission watapata code zao na wataweza kufanya verification zao katika vyuo wanavyotaka kusoma, matatizo madogomadogo yanayojitokeza yatafanyiwa marekebisho tu, haina maana yoyote kutoa maneno mazito kiasi hicho kiongozi.
Wewe subiri mpaka vyuo vifungue na itokee baadhi ya wanafunzi wameshindwa kwenda chuo kwa sababu ya matatizo ya verification code ndo utoe dukuduku lako, kwa sasa nakuomba utulie wakati mambo yanawekwa sawa.
Siku njema mkuu.
Oi nielekeze jinsi ya kuconfirm udsm code nishapataWamenitumia code Jana usiku Leo naingiza naambiwaView attachment 856510
Sent using Jamii Forums mobile app
Hivi leo wanatuma kweli au magumashi tu,mpaka kero yani,watu tunaumwa matumbo tu
Sijajua ila wamesema tukonfirm not later than 5-09-2018 yaani kabla ya tarehe sita.Hivi leo wanatuma kweli au magumashi tu,mpaka kero yani,watu tunaumwa matumbo tu
Sent using Jamii Forums mobile app
Hata huko chuoni, utakuwa unaandika kama hivyo?
Nimeandikaje mkuuHata huko chuoni, utakuwa unaandika kama hivyo?
CJATUMIWA!
Log in kwenye akaunt yako uliyoifungua wakat unaapply ud,utaona sehem ya kuandika conf code
OkLog in kwenye akaunt yako uliyoifungua wakat unaapply ud,utaona sehem ya kuandika conf code
Sent using Jamii Forums mobile app
Uwiiiii!! vipi wameweka na course uliyochaguliwa udsm??Bora nijiliwaze kuchek pcha za wasukuma apaView attachment 856718
Sent using Jamii Forums mobile app