Hivi hawa TCU wako seriouz kweli? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Hivi hawa TCU wako seriouz kweli?

Discussion in 'Jukwaa la Elimu (Education Forum)' started by Perry, Jul 6, 2012.

 1. Perry

  Perry JF-Expert Member

  #1
  Jul 6, 2012
  Joined: Feb 24, 2011
  Messages: 10,029
  Likes Received: 868
  Trophy Points: 280
  Wadau,kama mnakumbuka tcu walituambia deadline ya kufanya registration ni tar 4/07/2012 saa 00:01,sasa cha kushangaza deadline imepita ila wenyewe bado hawajatoa update ya kitu chochote kinachoendelea kwenye website yao.mfano saa hzi ukilog in kwenye cas utakutana na maneno yaleyale na still you can make some changes.sasa nauliza,hvi kweli organisation kubwa kama hii inafanya mambo kienyeji kienyeji kiasi hiki,wako seriouse kweli?
   
 2. Geofrey_GAMS

  Geofrey_GAMS JF-Expert Member

  #2
  Jul 6, 2012
  Joined: Feb 15, 2012
  Messages: 564
  Likes Received: 89
  Trophy Points: 45
  yan hata hawaeleweki
   
 3. S

  Salary Slip JF-Expert Member

  #3
  Jul 6, 2012
  Joined: Apr 3, 2012
  Messages: 25,039
  Likes Received: 37,822
  Trophy Points: 280
  Kwakweli TCU wamegeuka kitoka.Wameongeza muda tena mpaka trh 08/07/2012,ukitaka kujua wewe click pale kwenye registration ndio utakutana na hiyo extension mpya ya deadline.
  Nadhani kuna watu wengi taarifa zao zimeshindwa kukaa sawa na huenda wanajaribu kupunguza lawama.
   
 4. MKL

  MKL Senior Member

  #4
  Jul 6, 2012
  Joined: Mar 2, 2012
  Messages: 126
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Sijaawahi kuona watu walalamishi kama wabongo, muda uliongezwa hadi tarhe 4 mkalalamika ni mfupi sana wameongeza hadi nane bado ulalamishi tuu ukienda TCU sasa hivi ni msururu wa Applicant eti walikuwa wahajaaplly kabisaaaa wengine wanalalamika hawajapata Vocha za kuaplly nao wamezongana pale kwa sura za huruma kama wafiwa vile, Eleweni kuwa TCU wasipo maliza hili zoezi la udahili mapema, litachelewesha pia alocation za mikopo maana Bodi ya mikopo sasa hivi wanasubiri majina toka TCU ili waanze nao kuchanachana kivyao Mnavyo lalamika hivi inaashiria uelewa mdogo au upuuzi Duuu TCU iwape makalio ndio mridhike?
   
 5. ndetichia

  ndetichia JF-Expert Member

  #5
  Jul 6, 2012
  Joined: Mar 18, 2011
  Messages: 27,641
  Likes Received: 236
  Trophy Points: 160
  kwa nini bodi ya mikopo isiwatangaze watu wao ili kama umechaguliwa tcu fasta unapewa kuliko kusingia watu wengine mbona mwanzo walikuwa wanawapa watu mikopo bila ya kusubiria tcu wote ni wa zembe tu si tcu wala bodi ya mikopo..:argue::closed_2:
   
 6. Good Guy

  Good Guy JF-Expert Member

  #6
  Jul 6, 2012
  Joined: Oct 24, 2010
  Messages: 4,511
  Likes Received: 90
  Trophy Points: 145
  hujaiona big pic, hakuna complain bali swali ni kwamba TCU said th deadline is on 4th ds month,yet system inafanya kazi without any word from them!! Dats far from complaining :coffee:
   
 7. Vodka

  Vodka JF-Expert Member

  #7
  Jul 6, 2012
  Joined: Jan 5, 2012
  Messages: 909
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 35
  kwanini wafiche wasiweke hadharani,ujue kuna wengi wamekata tamaa kisa ya hiyo tarehe 4 hapo mwanzo.
   
 8. NingaR

  NingaR JF-Expert Member

  #8
  Jul 6, 2012
  Joined: Apr 15, 2012
  Messages: 2,836
  Likes Received: 23
  Trophy Points: 135
  Nazani watu hatujaelewa maelezo. Deadline ya REGISTRATION imeahapita ila wale ambao tayari wako REGISTERED ndio wanye uwezovwa ku login na kubadili zile program ambazo ziko "NOT ELIGIBLE".
   
 9. ze duduz

  ze duduz JF-Expert Member

  #9
  Jul 6, 2012
  Joined: May 11, 2012
  Messages: 864
  Likes Received: 72
  Trophy Points: 45
  mkuu maelezo yako sijayaelewa jaribu kufafanua
   
 10. NingaR

  NingaR JF-Expert Member

  #10
  Jul 6, 2012
  Joined: Apr 15, 2012
  Messages: 2,836
  Likes Received: 23
  Trophy Points: 135
  Na maanisha kua muda wa kuhisajili katika TCU umekwisha kwahiyo wale wote ambao hawajisajili hawatoweza kujisajili, ila kwa wale walio kwisha jisajili wanaweza kuendelea kuaccess accounts zao kama kawaida
   
 11. Petersume

  Petersume Member

  #11
  Jul 8, 2012
  Joined: Jun 21, 2012
  Messages: 43
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  VIJANA NDIO MAANA HUWA MNA FELI.......TCU WANA WAKO SERIOUS ILA NINYI NDIO HAMNKO SERIOS....HEBU INGIA KWENYE REGISTRATION NA SIO kU LOG IN...UTA ONA WA ME STATE KUWA DEADLINE ya ku edit Eligibilty MWISHO NI LEO TAREHE 8/JULY.. ILA HUWEZI KUFANYA NEW REGISTRATIONA KAMA HAUKUA NA ACCOUNT YA TCU,.. SO GUYS LEOOO NDIO MWISHO//// kwenye login page nenda registration....afu nipe comment
   
 12. NingaR

  NingaR JF-Expert Member

  #12
  Jul 8, 2012
  Joined: Apr 15, 2012
  Messages: 2,836
  Likes Received: 23
  Trophy Points: 135
  Bado inatinga kama jana
   
 13. Good Guy

  Good Guy JF-Expert Member

  #13
  Jul 9, 2012
  Joined: Oct 24, 2010
  Messages: 4,511
  Likes Received: 90
  Trophy Points: 145
  And why would they tell ya 2 verify nd chck your infos b4 the deadline if it concerns the new members?
   
 14. NingaR

  NingaR JF-Expert Member

  #14
  Jul 9, 2012
  Joined: Apr 15, 2012
  Messages: 2,836
  Likes Received: 23
  Trophy Points: 135
  Ulikua unataka wakwambie uverify your info after deadline?? Or I didn't get U well??
   
 15. Good Guy

  Good Guy JF-Expert Member

  #15
  Jul 9, 2012
  Joined: Oct 24, 2010
  Messages: 4,511
  Likes Received: 90
  Trophy Points: 145
  I thought you said hiyo deadline ni ya wale wa kujisajili kwa mara ya kwanza{kwamba mwisho wa kujisajiri ni hiyo tar 8 ryt}, so inakuaje tena waliojisajili tayari waambiwe wa verify info zao b4 deadline!? unless wanamambo yao huko,cause haiwezekani kufanya selection huku acc za wa2 ziko open na wanabadili 2 kozi randomly
   
 16. k

  king rockie ATL JF-Expert Member

  #16
  Jul 9, 2012
  Joined: Jun 1, 2012
  Messages: 265
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  According to them muda wa kubadili nao uliisha jana,update iliyopo ni personal information!
  Ila mi kwa upande wangu nawapongeza tcu kwani wamekua quite fair wangefuata deadline ya awali wengi wetu tungefanyiwa udahili tukiwa na makosa lukuki!,japo nao teknolojia wanayoitumia bado inawashinda kidogo.
   
 17. Good Guy

  Good Guy JF-Expert Member

  #17
  Jul 9, 2012
  Joined: Oct 24, 2010
  Messages: 4,511
  Likes Received: 90
  Trophy Points: 145
  [​IMG]
   
 18. FDR.Jr

  FDR.Jr JF-Expert Member

  #18
  Jul 9, 2012
  Joined: Jun 17, 2008
  Messages: 1,335
  Likes Received: 95
  Trophy Points: 145
  Waulizeni costech na new management ya tcu nini kiliwafanya waiache cas na kuja na cas ii? Watanzania kuweni wazalendo kwanza.......njaa zitatuua
   
Loading...