Hivi hawa tcu utendaji wao uko sawa kweli.

Afyayaakili

JF-Expert Member
Sep 12, 2012
903
1,175
Wamenipa facult ya Computer science and engineering pale St Joseph wakati sikuiweka kwenye choice pia nimesoma HGL sasa sijui wanataka nini,nikiwapigia simu subiri subiri kibao.Msaada wa kimawazo.
 
waliajiriwa kwa vimemo. Unprofessional.. So wakulaumiwa ni wale wote walioipigia kura ccm
 
kweli leo nimeamini...ukiwa nacho hutaona thamani yake kamwe...ila ukikosa ndo utapojua thamani yake.....mtoa mada amenifurahisha sana!!!!!!!
 
Back
Top Bottom