Kama CCM wenyewe wanagwaya kumuita Waziri Mkuu ALIYEJIUZURU na wanamsafisha kwa kumuita waziri mkuu MSTAAFU nani ndani ya CCM ataweza kum-face. Wote CCM watabaki kuzunguka MBUYU. Lakini hatima yake tunayo sisi Watanzania. kama tutawategemea CCM we''re completely fnish! mark my words.
The only thing to stop this GUY ni kama CCM itaona kwa kila dalili kwamba Watanzania HATUMTAKI, ndiyo itakuwa salama yetu, kwani CCM haitamsimisha
maandishi makubwa mekundu tafadhali,,,, hata MBOWE na SLAA wanamuogopa????
hata wewe unamuogopa?????
soryy!! mimi simuogopi ial namuheshimu sanaaaa
Betlehemu unajua wenzake nao wameshaanz kuelekea huko. Si siku nyingi zilizopita Waziri Mkuu mmoja mstaafu alilalamikia haya Kanisani mble ya askofu na waumini, lakini naye alikuwa akichangisha na kuchangia pesa! Nakubaliana nawe tuwalaumu zaidi viongozi wa dini kwa kuruhusu haya kufanyika.Lakini kwa upande mwengine viongozi wa dini nao wanapaswa kulaumiwa kweli.Viongozi wa dini wanaonekana kutochukua tahadhari kwenye mahusiano yao na wanasiasa mwishowe huishia kutumiwa na baadae kubakia kulalamika. Kuna kamsemo nasikia watu wakikasema sema eti "There is no free lunch in this world!" Haka kamsemo kama kana uhalisia. Anaekubali kutumia shauri yake.
Kama CCM wenyewe wanagwaya kumuita Waziri Mkuu ALIYEJIUZURU na wanamsafisha kwa kumuita waziri mkuu MSTAAFU nani ndani ya CCM ataweza kum-face. Wote CCM watabaki kuzunguka MBUYU. Lakini hatima yake tunayo sisi Watanzania. kama tutawategemea CCM we''re completely fnish! mark my words.
The only thing to stop this GUY ni kama CCM itaona kwa kila dalili kwamba Watanzania HATUMTAKI, ndiyo itakuwa salama yetu, kwani CCM haitamsimisha
ni hatari kwa afya ya nchi hii ila sijui kwa nini hata chama chake hakichukui hatua ya kuepusha madhara tunayo yaona sisi great thinkers wa jf.
Hajawahi kuomba kwenda huko lakini hualikwa, hata we we kama una ishu mwalike tu hana ajizi atakuja tu. Tuache umbea ktk hili. Jamaa anafanya kazi nzuri sana.