Hivi hapa sijapigwa kweli?

Hivi hapa sijapigwa kweli?

Uliingia mgahawa au Hotel ? Kama mgahawa umepigwa parefu sana ila kama Hotel TAFUTA PESA JOMBAAA
 
Ni kawaida tu ww lipa japo umepigwa

Huwa kuna mgahawa mmoja naenda kula na kila nikila bill ni elf20.

Sasa juz nimeenda kula ila sikuchukua nyama wala samak maana nlkua nmeshiba so ilipo fika muda wa kulipa nikajua leo ntalipa pesa kidogo.,, maana sjachukua nyama wala samak kufika kwa malip muhudumu ananimbia natakiwa kulipa elf20 nkamuliza why wakat sjala nyama wala samak akanambia apa kwetu sahani ni elf20 uchukue nyama usichukue bei ni ile ile, ujaze sahani au usijaze sahani bei ni ile ile

Nikalipa tukabaki kucheka na mudumu maana mm ni mteja wao wa mara kwa mara
 
Kuna jamaa alikua anashangaa ati kuna watu wanakula lunch kwa buku 2, yeye alidhani lunch ni kuanzia walau 15k. Akiona huu uzi hakika atastaajabu lalamiko lako.

Enewei siku nyingine yakupasa uulize bei kabla ya kufinya cha mtume, la sivyo ukienda kwenye mgahawa wa Poor Brain utaacha ndala.
Aahahahha now naitwa baba lishe ujue
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom