Nyamuleha jr
Senior Member
- Feb 20, 2013
- 185
- 65
Kuna rafiki wakike nimekuwa naye kwa miezi mi 4 sasa ilasijawahi kuwa na mahusano naye ya kimapenzi na wala katika maongezi yetu hatujawahi kuulizana mambo ya mapenzi, ila ishara saa nyingine tunazofanyiana kama kushikana mkono tunapotembea, kumaind kama ajakutakia gmorning au g9t, au haiwezekani haijapita sikuhatuja onana marafiki zangu wanamjua na mimi marafiki zake wananijua sikuhizi nikimuona amesimama na mshikaji mwngne kama kiroho kinaniuma hivi na hata naye huwa anamind sema anajidaigi mgumu maana kunasiku kanitext nimekuona umesimama na mtoto nika muuliza uko wapi akaniambia nimekupita sema nimeona nisikuharibie ilichukuwa tyme sana hadi kuelewa siyo demu wangu, sasa sikuizi washkaji zangu wamekuwa wakiniita mimi domo zege, na wakati demu mimi sina mpango naye sina future naye ilawashikaji wananiambia nichakachue tu, ila naogopa mambo haya kuwa kweli atiniona domo zege na akikata sindiyo urafiki wetu utakuwa umeisha?