Hivi hapa kuna mapenzi kweli ama?

Siku hiz wanawake wanashindana view za status, mwenye view nying anajion star,.. sasa wewe futa namba hupendwi
Kumbe kuna mashindano ya kuview status huko whatsapp?? Sikulifahamu hili nadhani huyu mwanamke atakuwa na akili ndogo ya maisha
 
Mwenyewe nashangaa hivi anakuwaje mke wa mtu wakati yupo chuoni na umri wake ni mdogo wa kuwa mume wa mtu
Inawezekana hilo kama anatoka maeneo ya mkoa wa Mara anaweza kuwa ameshafanyiwa booking na jamaa na hata kulipiwaml mahari kama ng'ombe bado kufunga ndoa.Kwa hiyo jamaa asiendelee kulazimisha mtu akikuambia ana mme achana naye utafute mke mtakayependana.
 
Kwanini wewe usifute za kwake?
 
Yeah maumivu kidogo yamepungua nimejiweka Bize na mambo ya mpira na biashara zangu taratibu nimeanza kumsahau
Pole na hongera. Nimetamani kujua coz last week nimepitia ulichopitia japokuwa scenario yangu ni tofauti kidoogo na yako.
Yes kuwa busy na mambo mengine na kujichanganya na watu kunasaidia sana. Ila mimi kilichonisaidia kutopata tabu wala kumbembeleza ni michepuko japokuwa ndo hao hao walioniponza.
 
Nilikosea kiuwandishi nimesharekebisha mkuu!!

Sasa kama hataki mawasiliano na mimi mbona namba zangu hafuti halafu mbona akiniona hata mkiwa barabarani ananichangamkia
Namba wanasev wapate views nyingi kwenye status zao kwaio usije zani unapendwa wewe hapo huna chako
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…