Hivi hapa kuna mapenzi kweli ama?

wanafunzi bana[emoji16][emoji16][emoji3][emoji3][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787]
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] tumefanyaje tena
dogo soma kwa bidii, ukimaliza kusoma kama hujabahatika kuajiriwa usikate tamaa ingia chaka pambana na mishe nyingine upate pesa, pambana kila siku upate pesa,tafuta pesa, wakati sahihi ukifika utapata mwanamke sahihi utaoa, acha mambo ya kitoto[emoji16]
 
Ndio kaka kutafuta pesa muhimu sana
 
Kuna mtu upo kwenye mahusiano na yeye hivo siku ukiona ameanza kukushobokea ujue kule amepigwa chinii

cha msingii wee mupee mda msikilizie tuu, ipo siku atajiset mwenyewe

NB, tafuta mwingine huo akija , akute kuna mwenzie na wewe umuchunie
 
Kuna mtu upo kwenye mahusiano na yeye hivo siku ukiona ameanza kukushobokea ujue kule amepigwa chinii

cha msingii wee mupee mda msikilizie tuu, ipo siku atajiset mwenyewe

NB, tafuta mwingine huo akija , akute kuna mwenzie na wewe umuchunie
Nashukuru ndugu !! Ila kuna jamaa mmoja apo juu amenishauri nitafute hela kwanza halafu wanawake watajileta wenyewe
 
Sio Dah sorry mkuu ni typing error ila nimesharekebisha
Nimekuelewa..

Ila mkuu mke wa mtu ni mtamu lakini siku ukikamatwa na mumewe anakua mchungu sana .

Achana nae haraka sana. mbona mabinti wabichi na ambao hawana watoto wapo ndugu, tafuta binti mmoja mbichi ambae injini haijashushwa wekeza huko akili zako na sio hisia. Akili zikikuambia weka ndani fanya chapu ndoa ni BARAKA,

Ila hakikisha akili ndiyo inayo kuambia weka ndani na siyo hisia.


Huyo mke wa mtu kuhusu kutofuta namba zako isikupe shida , akikucheki mpotezee ila mkikutana akikuchangamkia mjibu kistaarabu alafu uwe serious sana ila uwe mstaarabu na hayo ndiyo maisha na maana ya busara na hekima.

Ipo siku atakuja kukuheshimu sana pia hakikisha usije ukamvua chupi mkuu ili hali unajua wazi ni mke wa mtu.

KUMBUKA .Sisi vijana tunavuaga chupi wale wake za watu ambao hatujui kama ni mke wa mtu tukizania ni single mama tuu. Ila tukijua ukweli ni mke wa mwanaume mwezangu tunajutiaga sana nainaumaga sana na kuomba toba. Japo hatuwekagi wazi kama tunajutia.

Sent from my TECNO KC8 using JamiiForums mobile app
 
Sio lazima kupendwa na kila unayempenda,ukielewa hilo utakua umekua na utajua kideal na rejections kama hizo.
 
HUPENDWI hilo tu
 
Nami pia nimekuelewa

Mkuu mimi nilijaribu kumchunguza ili kujiridhisha kama ni mke wa mtu kweli lakini sio labda atakuwa na mwanaume mwenye malengo nae ya kuwa mumewe

Na kuhusu kumvua chupi mwanamke, mimi sina mambo hayo wala sikuwahi kushiriki kwenye mambo ya ngono na wala sikumtamanj kimwili na muheshimu sana ndio maana nilipoanza kumtongoza nilimwambia direct kuwa lengo langu ni kumuoa na wala si kumchezea

Lakini suala lake la kutokupokea simu zangu linaniuma sana isitoshe simu kupigia ni kwa lengo la kumjulia hali lakini yeye anakukalia kimya ukimuuliza lengo la kutokupokea simu zangu ni nini? Hajibu?? Why? Anakaa kimya kama hataki mawasiliano na mimi kwa nini asifute namba zangu na kwani anabaki nazo??
 
Sio lazima kupendwa na kila unayempenda,ukielewa hilo utakua umekua na utajua kideal na rejections kama hizo.
Ngoja ni ufundishe moyo kukubaliana ni hili, Asante kwa ushauri
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…