Hivi hapa jf tunabaguana?

The Icebreaker

Platinum Member
Joined
Apr 24, 2014
Posts
39,800
Reaction score
123,860
Napenda kuuliza tu eti hapa jf tunabaguana? Utaona thd nzuri lakini kwavile aliyeipost sio mtu maarufu hapa jf basi hakuna anayechangia au thd sio nzuri sana lakini wachangiaji wanakuwa wengi sababu tu aliyeipost ana jina maarufu hapa jf!! Sasa nauliza hivi kuna watu huchangia thd kutokana na jina la mtu aliyepost hiyo thread??
Ni mtazamo tu.
 
Kwanini thread yako umeitupa huku?
Ni mtazamo tu.
 

Mmmh mkuu kuna watu wanajuana humu,kupitia #love connect,lkn usijali mkuu we tupia 3d nzuri kaa hii watu tutareply
 

kuna mdada humu alisema hachangii mabandiko ya watu eti atawapa umaarufu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…