Hivi hapa Airtel wako serious kweli?

Hivi hapa Airtel wako serious kweli?

kivyako

JF-Expert Member
Joined
Feb 2, 2012
Posts
14,342
Reaction score
12,065
Naona kuna mabadiliko tena ya vifurushi na hii hapa nimekutana nayo wakati naperuzi vifurushi vyao, are they really serious?
 

Attachments

  • 1440412490414.jpg
    1440412490414.jpg
    15.8 KB · Views: 1,288
Mimi Natumia Aritel Na Naikubal Mbayaa Kuhusu Hiyo Kitu Mbona Kwenye Menu Yangu Aipo Hiyo??
 
Ntaendelea kula raha zantel kwa buku langu tu wiki nzima!
 
SAFARI BANDO

1. Safari bando ya siku MB 15 shs.22,000/=
2. Safari bando ya wiki MB 50 shs.60,000/=
3. Safari bando ya mwezi MB 100 shs. 95,000/=

Airtel kwa sasa wanatisha.
Labda iwe ni safari ya kwenda ahera!!!
 
Naona kuna mabadiliko tena ya vifurushi na hii hapa nimekutana nayo wakati naperuzi vifurushi vyao, are they really serious???

Hicho kifurushi tunatumia sie wenye hela zetu
 
airtel wameniangusha sana katika hili...

kutoka 800MB kwa buku wakaja 1GB kwa 2000/- saiz imekuwa 3000/- eti wiki hiyo..
huu ujinga kabisa.
 
Hiyo hela kanunue router ya ttcl na kifurushi chake.
 
Back
Top Bottom