Hivi hakuna tofauti kati ya kuweka Serikali mfukoni (Nyerere 1995) na ya huyu RC wetu?

Mwanamayu

JF-Expert Member
May 7, 2010
11,349
6,476
Sikiliza maneno ya Mwalimu hasa hadithi ya Mgiriki ya kuweka serikali mfukoni (kuanzia dakika ya 22:30 mpaka 26:30).

Halafu sikiliza na ya mhe. RC wetu.
Hivi kuna tofauti kwenye haya mambo ingawaje moja ni rushwa na ili jingine bado hatujui, lakini ninachoangalia hapa ni kusema 'nina mengi namzidi hata mwenye cheo kuliko mimi serikalini, hata wakubwa wako wanitambua/ wanalitambua' (by RC) na 'kuweka serikali mfukoni' (by Giriki).
Video clip ya Mwalimu speech


Video clip ya RC wetu
https://www.jamiiforums.com/attachments/6e9babae-1055-49a8-a88b-2a51eeff8f34-mp4.1062235/
 
mkuu Makonda mnamsakama kwa sababu binafsi.. chuki, ukosefu wa upeo na ugumu wa maisha nje na hapo hamna sababu ya kumlaumu Makonda... vijana tubadilike tuache wivu na chuki.
 
Back
Top Bottom