Mwanamke akikupiga ni starehe kwa mwanaume! anataka mambo, mimi akinipga tu lazima nisimamishe! wana ngumi gani za kukupiga mpaka ukalalamike? kwanza warembo sana wale , ile akinuna tu, ni raha kwangu, kimdomo lips chekundu bwetuuu! ayaaa!!!!Hakuna haki za Kutetea Wanaume maana kuna wengine wanapigwa na kuteswa na wake zao hii Imekaaje kwa wataalam wa Sheria?