Hivi hakauna superstar

Kwa wasanii sina uhakika na lady jaydee, but kwenye sports Hasheem Thabeet nazani amefika levo za kuwa superstar
 
Mpoto keshakula award kibao za kimataifa kwa mashairi yake pia Rashid Matumla kwa kuzichapa.
 
Labda wamuombe jk akienda nje awafanyie promo. Ila kwasasa hakuna kitu.
 
Kwa kweli style ma mziki tume specialize haivutii watu wa ulaya na hawawajui wana muziki wetu.
 
wasanii wetu wamelenga soko la nyumbani, mara nyingi wanapofanikiwa kusikika kwenye redio na kutazamwa kwenye TV za nyumbani hudhani kuwa wamefika, na kubakia kubweteka
kweli barraza
 
Jay z si superstar, Jayz is the God MC, he is a demi God.. damn
wee weee weee.....tema mate chini! Usije kumponza huyo jamaa yako aisee....watu walioshirikishwa na hilo jina isivyo walikufa ghafla! Unamkumbuka mfalme herode?
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom