Hivi haiwezekani?


Ni kweli mkuu km ulikuwa mtu wa kufanya sana ngono ujanani,nahisi itakuwa ngumu kujicomit kwa mtu mmoja/kusubiri.....
 
kukaa bila ngono inawezekana sana tu sema baadhi ya watu wanajiendekeza jiweke busy usiangalie movie zitakazokushawishi kingine fanya mazoezi na n.k hata mwaka utamaliza

Ni kweli mtu akikaa mbali na vitu vitakavyochochea mwili wake kufanya ngono,anaweza kukaa kwa usafi mpk mwenzie arudi.....
 
Karne yetu tumehalalisha vitu haramu na tumeharamisha vitu halali!!!
"Fear of the Lord the only way the hard way"
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…