Hivi haiwezekani?

Watu na nyg zao za kuzaliwa nazo hata akeshe kailoeka usishangae kesho anaomba na kwingine vitu vingine hata ukiuliza why huwa havina majibu!!!!
 
Mwanaume ni rahisi sana kukaa muda mrefu bila kufanya ngono, ila wanawake ni ngumu coz muda wote wanahisi wapweke na kutokuwa na thamani duniani, ila wapo wanaoweza pia ila hawa inategemea na malezi ya familia na namna moyo wake unavyomtuma na jinsi akili yake inavyofikiri na kuwachukulia wanaume.
 
Hata Mungu aliwaamuru Adam na Hawa wasitengani, ealipotengana tu kwa mda mfupi shetani nae akafanya yake. Mkishaoana shurti kuambatana popote, azawaiz lazima shetani apitemo.

Mkuu sijkuelewa.....
 
Kujiendekeza tu na kuendekeza tamaa za mwili

Asante mkuu,tatizo kufanya afanye yeye afu wewe ndio unabebeshwa msalaba,inauma kuchitiwa ila kuambiwa ni wewe ndio umesababisha inauma zaidi nadhani!
 
Unapokuwa kwenye ndoa hutokea ngono inakuwa jadi. Inahitaji neema ya Allah kuvumilia upweke wa kukaa mbali na mwenzi wako! Can't comment on why uzinzi unazidi ku'take over

Tumuombe mungu azilinde ndoa zetu,ni kwa ulinzi wake zitadumu,nimekusoma mkubwa....
 

Hapo ni kinyume chake
 
Inafatana anaenda kukaa mbali kwa muda gani kama zaidi ya mwaka hata wanawake wanaoweza kuvumilia itakuwa ngumu,kwa mwanaume wiki tu ni sheeeda
 
Uzinzi mara nyingi ni tabia ya muhusika. Kwanini watu wanachepukiana vyumba vya jirani?
Binaadamu akiongozwa na nia yake anaweza kuvumilia kukosa ngono kwani si kuna masista na maaskofu waongofu?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…