Hivi haiwezekani zikawepo ATMs za mobile money?

Hivi haiwezekani zikawepo ATMs za mobile money?

donlucchese

JF-Expert Member
Joined
Mar 23, 2011
Posts
17,258
Reaction score
22,140
Salam wakuu,

Napenda kuuliza hivi haiwezekani zikawepo ATMs za mobile money? Yaan inakua ina function kama ATM za kawaida tu lakini yenyewe inasimama kama wakala? Mtu anaenda anachagua tu mtandao anafanya muamala na pesa inatoka kama kawaida?

Ni wazo tu nikaona si vibaya kuuliza?
 
Salam wakuu,
Napenda kuuliza hivi haiwezekani zikawepo ATMs za mobile money? Yaan inakua ina function kama ATM za kawaida tu lakini yenyewe inasimama kama wakala? Mtu anaenda anachagua tu mtandao anafanya muamala na pesa inatoka kama kawaida? Ni wazo tu nikaona si vibaya kuuliza
Mbona ATM za kawaida nyingi zinafanya jambo hili mkuu?
 
Wazo zuri nadhani kwa jinsi technology inavyokua siku baada ya siku ni suala la muda tu. Itafika kipindi mtu ana card ya airtel money au mpesa unaenda tu kuswap na kusepa na hela zako.
Lakini hiyo itaua biashara ya uwakala kwa sababu mashine itachukua nafasi ya mawakala.
 
Kweli mkuu, hii kitu nimewaza sana
 
Nikianalia lengo kuu la mobile money ni kumaogezea mwananchi huduma za fedha mahala alipo.

Bado kuna watu wapo maeneo ya vijijini ambapo kufika ATM bado ni changamoto lakini mawakala wapo.

Aya turudi sasa ikatokea hata zikawekwa ATM Kwa ajili ya mobile money bado kutahitajika mawakala kwa ajili ya kuweka pesa maana ATM inatoa tuu na sio kupokea.
 
Mkuu, kwani benki utaratibu ukoje wa uwekaji wa fedha kwenye mashine mkuu?
 
Running cost ya ATM ni kubwa zaidi, haina advantage yoyote kubwa ukilinganisha na kutumia vibanda vya wakala, TiGoPesa walijaribu kuja na hiyo ATM mwaka 2014 nafikiri zilikufa
download.jpeg
images (42).jpeg
Tigo_Matic_Tanzania_Derm_Complex.jpg
 
Back
Top Bottom