Bushrah
JF-Expert Member
- May 9, 2014
- 413
- 785
kwa kweli kajiandaa
Sent using Jamii Forums mobile app
Mtoa Mada amejiandaa kuchambana na wanaomkejeli
Sent using Jamii Forums mobile app
Mtoa Mada amejiandaa kuchambana na wanaomkejeli
Bado wapo pamoja wanaishi wote marekani,hapendi kuanika maisha yake personal mitandaoni
Ndo nani huyo Fiose? Anafaa kufunguliwa uzi?
Basi atakuwa ni msiri sana. Kuna wanazengo hapo juu wamesema ndoa haipo tena.
Confirm na vyanzo vyako basi.. Kuna wadau wanadai ndoa haipo tenaHata mie najua iko hivi
Kwani si umeleta watu wajadili au kuna comments za kukupamba?Mbona hii mada imekukuna sana ama wewe ndo Flaviana mwenyewe tunakusema huku?
Maana sio kwa kuchoropoka huko race kwenye uzi bila hodi
Sasa aliolewa ili iweje?Flav anapenda wembamba,dili kubwa kwa sana, sasa masuala ya kubeba mimba na kulea wapi na wapi
Daaah Demu mifupa kama ile siwezi kabisa kuwa nae,hana hata nyama? Raha ya Demu awe na nyama nyama ,hips na Chura kama zote,Tumbo flat ,ziwa saa 6 hapo sibanduki ila kwa BETINA yule khaaa hata nikilala nae bed moja abdallah kichwa wazi hastuki hata kidogo.
Sina vyanzo lakini najua Flaviana sio mtu wa show offConfirm na vyanzo vyako basi.. Kuna wadau wanadai ndoa haipo tena
Sasa mbona wewe hazi-charge?flaviana, my classmate Arusha Technical College, yuko njema sana kichwani,
Ndoa za FacebookWanazengo wapenda ubuyu, embu tujuzane wapenda umbeya. Huyu dada historia inasema aliolewaga. Hivi kimeendaje tena ama ndo mambo ya uzungu. Status ipoje sahiv? Maana tangu aolewage sijawahi muona na jamaa yake.
View attachment 1303235View attachment 1303234
Sio lazima. Tafuta wa saizi yako.Daaah Demu mifupa kama ile siwezi kabisa kuwa nae,hana hata nyama? Raha ya Demu awe na nyama nyama ,hips na Chura kama zote,Tumbo flat ,ziwa saa 6 hapo sibanduki ila kwa BETINA yule khaaa hata nikilala nae bed moja abdallah kichwa wazi hastuki hata kidogo.
Mkuu bado upo Tanzania?flaviana, my classmate Arusha Technical College, yuko njema sana kichwani,
Naomba nisisikie kuwa ameachika, nampenda huyu Dada na huwa namtakia Mema yote
Hahahahaaa inaonekana wewe ni BETINA au kama Sio BETINA basi SHAPE YA TIKITI MAJI au KABATI.Toka lini shoga akawa vizuri kitandani? Kawekwe vidole shemale