Asante mkuu kwa ufafanuzi huu. Naona hapo kuna mali kutoka China inayokuwa shipped world wide!!! Obvious na gharama ya hiyo bidhaa inaongezeka kulingana na sehemu wanapo i-ship sio?
Tiba
Tena hizo bidhaa za ebay ambazo ziko located China nyingine una ship for free kuja bongo! Nimeshafanya hivyo wala siyo mara moja!