Nimekupa information kwa ulivyosema kutengenza flash tu (yaani ni kama kitu kidogo sana) dunia nzima sasa hivi vitu ni mass produced hata hizo computers n.k. vifaa vinanunuliwa sehemu fulani vinakuwa assembled (and you don't need top brains kufanya assembly you just need cheap labor kufanya repetitive simpla tasks.... (kutengeneza silicon waffers kampuni kama Intel ime-invest vya kutosha na ina top notch facilities)Sasa kama ngumu mnasoma vya nini?
Mi ungeniambia mtaji sawa mengine hayo kelele
Kwa hiyo ungependa badala ya kuwa chuo kikuu kigeuzwe kuwa kiwanda?Wanazalisha vingi tu! Hata trafic Light nyingi zilizopo kwenye barabara za Tanzania wanazalisha wao. Dar tech kama Dar Tech awana tatizo . Tatizo ni Siasa zetu
Ahsante mkuu, mimi ndo maana nikamwambia nenda pale DIT ukaone Kazi za kiteknolojia zinazofanywaWanazalisha vingi tu! Hata trafic Light nyingi zilizopo kwenye barabara za Tanzania wanazalisha wao. Dar tech kama Dar Tech awana tatizo . Tatizo ni Siasa zetu
Ndivyo anavyotaka, au waende chumbani kwake wakamuoneshe teknolojia wanazobuni paleKwa hiyo ungependa badala ya kuwa chuo kikuu kigeuzwe kuwa kiwanda?
Umesahau zile Bomba za kunyunyiza ambazo una press kwa mguu ili unawe kipindi ya COVID-19???Nimeuliza tu, china ilijengwa kiteknolojia na watundu wa vyuo vya kati.
DarTech, MoshiTech, hatuoni mrejesho wa wasomi wenu
Nimecheka sana kwa sautiFlash disc haitengenezwi kiholela hivyo. Kutengeneza chupi na vikombe vya chai hii nchi hatuwezi wewe unazungumzia mambo ya wafers, microchips na precision kubwa ya manufacturing.
China walianza na textiles, kutengeneza vikombe sijui mabakuli, kilimo, ufugaji ndio wakaja automobiles na hatua kubwakubwa.
Mkuu napingana na wewe. Wazungu wanawahujumu sana waafrika.Mleta mada hakuna chuo duniani kinafundisha mtu kutengeneza kitu wao wanakupa knowledge General ya electronics,engineering etc wewe sasa ukaunde kwako kwa ubunifu wako
Acha wa DIT kuna watanzania wamesoma best universities duniani wazungu.kwa waafrika lakini hawajatengeneza chochote huishia kuajiriwa tu
Ubunifu wa kuunda kitu.ni mtu binafsi mwenyewe
KeshoUlitoka Kijijini lini? Juzi?
Kivipi wakati wazungu na waswahili.mfano wakienda nje wanasoma darasa moja chuo.kikuu cha engineering na wazunguMkuu napingana na wewe. Wazungu wanawahujumu sana waafrika.
Nyie kama taasisi ya teknolojia mlitakiwa mtengeneze bomba zenye sensor sio haya yakukanyaga kwa mguu.Umesahau zile Bomba za kunyunyiza ambazo una press kwa mguu ili unawe kipindi ya COVID-19???
Nadhani hata mafundi simu wa mitaani wana ujuzi kuliko hawa wanachuoNimeuliza tu, china ilijengwa kiteknolojia na watundu wa vyuo vya kati.
DarTech, MoshiTech, hatuoni mrejesho wa wasomi wenu
Kwa hiyo kwa kuwa process ni ngumu inahalalisha wao kushindwa kutengeneza?Unajua flash disk ni nini na inatengenezwa vipi ? Unajua zile silicon chips kuzintengeneza precision inayotakiwa.... Ni sawasawa na kusema kwanini MIT hawafanyi manufacturing (hio sio kazi yao kazi yao ni kutengeneza / nurture Brains) ambazo zinaenda kufanya mambo huku na kule...
Processing silicon wafers is no easy task. Silica sand needs to be refined, lapped, cleaned, and polished. However, hard work pays off, resulting in a wafer disk that can host tons of microchips. Then it's the turn of manufacturing, where experts turn silicon wafers into complex chips used in electronics.
Kutengeneza ni nini ? , Kama unamaanisha assembly hata wewe hapo ulipo unaweza ?Kwa hiyo kwa kuwa process ni ngumu inahalalisha wao kushindwa kutengeneza?
Sent from my SM-A507FN using JamiiForums mobile app
China niliwai fika kwenye Chuo ambapo ndani yake wana kiwanda cha vifaa tiba.Ata UK pia kuna Vyuo vipo na viwandaKwa hiyo ungependa badala ya kuwa chuo kikuu kigeuzwe kuwa kiwanda?