Bugududu Sududu
JF-Expert Member
- Apr 19, 2014
- 600
- 700
Ni wa mkoani huyo,we huoni mwandiko wake kwani..?Na wewe ni Mwanaume wa Dar?
[emoji4] [emoji4]Na wewe ni Mwanaume wa Dar?
Watakua wanamuogopa wa mkuu wa mkoa labda.Kwani kuna ugumu gani na nyinyi msio wa Dar mkatuita si wa Dar wa mkoani? Hamkatazwi
Siku hizi kumezuka kasumba kwa wakazi wengi waishio Dar es salaam kutumia neno MKOANI kwa kila kitu ambacho si cha dar es salaam utasikia wanaume wa mikoani,wanawake wa mikoani,tabia za mikoani,shule za mikoani,mapenzi ya mikoani,na kila kilicho kibaya mikoani,kisicho pendeza mikoani,ukiita Dar es salaam kwa jina la mkoa unaonekana kama umeikosea KWANI DAR ES SALAAM NI NCHI.acheni dhana zenu mbaya.Mi huwa ninakasirika sana kwa hizo dharau zenu