Sasa hayo maswali yako nani atakujibu?labda jinyonge wewe harafu uje utupe ushuhuda kama itakuwa rahisi labda.Natamani kujua hasa walengwa huwaza nini? Huona nini? Huhisi nini? Ni magumu gani hupitia kwa dakika 5 kabla ya kujitoa uhai!
NB: Sizungumzii wale ndugu zetu wafia dini!
Lakini story za watu wengine waliojiua ama kujaribu, ukiangalia mkuu hazina uhusiano Na Magonjwa ya akili!Ni magonjwa ya akili, kuna wengine wanajaribu kujiua wanaokolewa lakini wanakuja kujiua baadaye, ni muhimu mtu aliyeokolewa kupewa ulinzi kwa kupelekwa kwenye hospitali za magonjwa ya akili zenye ulinzi kama mirembe
Mtu yeyote anayejiua ana ugonjwa wa akili sema anakuwa hajagunduliwa, anakuwa amefikia mwisho wa kufikiri kwa hiyo anakimbilia ufumbuzi mwepesi, kwa mfano watu wenye magonjwa sugu kama kansaLakini story za watu wengine waliojiua ama kujaribu, ukiangalia mkuu hazina uhusiano Na Magonjwa ya akili!
Nishawahi kuskia sehemu kuwa mtu yoyote anaweza kujiua, Ni Kweli? Na vile watu wasema kuwa kila mtu Ana uwendawazimu wake.... Una amini?Mtu yeyote anayejiua ana ugonjwa wa akili sema anakuwa hajagunduliwa, anakuwa amefikia mwisho wa kufikiri kwa hiyo anakimbilia ufumbuzi mwepesi, kwa mfano watu wenye magonjwa sugu kama kansa
Huu ni ukweli mtupu, sasa umeelewa ngoja niende nikanywe bia sasaNishawahi kuskia sehemu kuwa mtu yoyote anaweza kujiua, Ni Kweli? Na vile watu wasema kuwa kila mtu Ana uwendawazimu wake.... Una amini?
Hahaaa! Mkuu Sa utajuaje kuwa zimebaki dakika 5? Si naweza kupitiliza mkuu!!?Jaribu kufanya siuna jaributu sasa unaogopa nini nawakati wewe unataka kuzijua zile, 'dakika tano' kabla ya kujiuwa..wewe fanya paka ifike sekunde ya 'kumi' alafu una 'ghairi'.
Si kuwa inawezekana kuwa Mungu ndo kawaandikia kifo chao kiwe kwa style hiyo!!? May be at that time Mtoa roho Israel kasimama pembeni!Nataka kuamini wengi wao wanakuwa wamejawa ghadhabu kali sana,labda wengine wanakuwa kwenye huzuni kubwa mno na pengine wengine wanakuwa under influence of substance abuse kwa hiyo siamini kama wanakuwa kwenye thinking ya kawaida inawezekana wanakuwa kama wamekuwa possessed.