US kuna kitu walikuwa wanakitafuta wamekipata huko KenyaHabari wakuu,
Pole na majukumu ya apa na pale nina maswali machache nayo jiuliza kuhusu huu ugonjwa uko U.S.A toka mauaji ya yule muafrika tunaona maandamano bila hatua zozote
1. Lock down imeishia wapi
2. Yale maandamano ayawezi kusababisha mlipuko zaidi
3. Au ni ugonjwa wa kutengeneza kwa maneno
Tafakari njema
Ongezea na mawazo yako
Sio lockdown Ile ni Kenya Pekee ambapo ugonjwa unaambukiza usiku hivyo wameongeza siku 30 za kutotembea usiku.Wakenya wanapata tabu sana, jana wameongezewa tena siku 30 za lockdown
Wamefungiwa pia kusafiri nje ya mkoa, hapo ndio balaa zaidi.Sio lockdown Ile ni Kenya Pekee ambapo ugonjwa unaambukiza usiku hivyo wameongeza siku 30 za kutotembea usiku.
Yaani kuna hatua nyingine unaona zinafanyika ili kuwafurahisha wahisani na kupata vihela ila Hazina maana kabisa
I CAN'T BREATH, neno la uponyaji lililomaliza Covid-19 Marekani.
NoumaUgonjwa wa PROPAGANDA..
Aisee kweli mkuuCorona? What corona..??
Mimi toka mwanzo nilipinga kabisa lockdown.
Huo ugonjwa haukustahili kabisa kuwa ndio sababu ya ku shut down uchumi wa dunia.
Binafsi naanza kuamini pengine ilikuwa ni moja ya njama za kumuondoa Donald Trump madarakani.
Haiwezekani eti wiki mbili tu zilizopita tulikuwa tunatishwa kwamba sehemu zina open up too soon.
Nakumbuka Governor Brian Kemp walimsema sana alipoanza kuruhusu jimbo lake li open up kidogo kidogo.
CNN walikuwa mstari wa mbele sana ku promote hofu kwa watu.
Leo hii habari za COVID-19 hazipo tena CNN...
Hakika Rais Magufuli ni mwamba kwelikweli[emoji1548][emoji1548]
Au sio hahahahKama wanatudanganya watajua wao na sisi kama tunajidanganya Tanzania kuwa wamebaki 4 tutajijua wenyewe.
Wanatufanya mafala sanaHuo ndio uhalisia wenyewe... kama ingekuwa ni gonjwa hatari kama tuliyo karilishwa basi kwa kupitia hayo maandamano yanayo endelea USA tungeliona watu wengi sana wakiwa wana anguka na kufa wakati wakiwa katika maandamano
Hahaha ivi awajiulizi u.s.a mbn hawafi afu kuna maandamoWakenya wanapata tabu sana, jana wameongezewa tena siku 30 za lockdown
HahahhaMimi nawasikitikia nyumbu tu, sijui wataambia nini watu.
Sent from my SM-A310F using JamiiForums mobile app
NoumaHakuna social distance, hakuna kunawa mikono hakuna lockdown... hakuna updates
Nouma sanaTunasubiri mwezi wa 8 (ilikuwa wiki baadaye mwezi na sasa ni miezi) tuanze kuokota maiti mitaani, kwa mujibu wa mama Bill Gate! Shenzi kabisa wanatia hofu watu ili wauze chanjo!
Ndo hapo sasa, wanajitesa tu wenyeweHahaha ivi awajiulizi u.s.a mbn hawafi afu kuna maandamo
Ebwana Ndiyo!Au sio
Kama kipindi cha L the king,hadi madilikoHivi wataandama mpaka lini?