Alafu njia panda yenyewe imekuwa ya akina manyaunyau tu, kila wiki majini tu, uchawi uchawi tu, yaani maani hasa ya njia panda imepotea, sasa km story ya leo, njia panda hapo ni ipi. Mtu anatumia masa mawili kusimulia ndoto anazoota, eti "nilikaa juu ya kaburi kisha nikashuka chini mpaka nikasikia tiiii" ovyoooooooo!
Hahahaha mwenyewe alivyosema tiii nilicheka sana.hiv vipind now vimeloteza ladha,zamani ilikuwa ni sitofahamu ya R.F.A ila cjui bado kipo??

Wanarusha hadi sasa hivi lile tangangazo la Dstv kupitia channel yao ya Super sport la Finali ya UEFA baina ya Real Madrid na Atletico Madrid iliyokwisha chezwa May 24,2014 katika kipindi cha njiapanda.