Kama ana ofisi maalum atakuwa analipa kodi.Wakuu.
Huwa namfuatilia huyu jamaa, na nimegundua anapiga pesa nyingi sana kwenye huduma zake za counselling anazozitoa.
So ningependa kujua TRA huwa wanachukua kodi kias gani kutoka kwake ?
Huo ni wivu wa kike jombaa. Pambana na hali yako.Wakuu.
Huwa namfuatilia huyu jamaa, na nimegundua anapiga pesa nyingi sana kwenye huduma zake za counselling anazozitoa.
So ningependa kujua TRA huwa wanachukua kodi kias gani kutoka kwake ?
Ukiona huwapend madalali jua ulikopa na ukashindwa kulipa WAMEKUBAMBUA UKOMEEE!Bora huyo. Madalali je? Serikali inakosa mapato sana kwa madalali. Siwapendi kabisa hawa jamaaa
Sent using Jamii Forums mobile app
Samahani mkuu, naomba kujua jinsia yako kama hauto jali tafadhali.......Wakuu.
Huwa namfuatilia huyu jamaa, na nimegundua anapiga pesa nyingi sana kwenye huduma zake za counselling anazozitoa.
So ningependa kujua TRA huwa wanachukua kodi kias gani kutoka kwake ?
Na wewe kuwa dalali acha chuki?Bora huyo. Madalali je? Serikali inakosa mapato sana kwa madalali. Siwapendi kabisa hawa jamaaa
Sent using Jamii Forums mobile app
Ma Mc wote hakuna anayelipa kodi na wanapiga pesa ndefu kila wiki,nadhani uwekwe utaratibu walipe kodi ,kazi yao ni kushona vijisuti tu,siku hizi U Mc unalipa sana ndio maana wasomi wengi wamekimbilia kazi ya usherehekeshajiBora huyo. Madalali je? Serikali inakosa mapato sana kwa madalali. Siwapendi kabisa hawa jamaaa
Sent using Jamii Forums mobile app
hii ndio shida ya Watanzania,ukisema jambo la maana ambalo ni la manufaa kwetu sote tunaanza kuleta ujinga,kulipa kodi kwa kazi yoyote ile yenye ujira ni jambo la lazima ,hayo maendeleo na misaada tunayopata ni kodi za watu huko nje,halafu kwa ujinga wako wewe unaanza kumuona mwandishi hamnazo, wakati huko kijijini kwenu babu na bibi yako na nduguzo wengine wanakosa huduma sababu watu hawalipi kodi,tembea uone nenda ulaya ,marekani uone Mc au mtoa ushauri kama halipi kodiSamahani mkuu, naomba kujua jinsia yako kama hauto jali tafadhali.......
Maana Dahhhhh, unavinasaba vinavyo nipea mashaka sana
Tena madalali wakorofi kama nini kukutembeza tu anataka buku 5 aBora huyo. Madalali je? Serikali inakosa mapato sana kwa madalali. Siwapendi kabisa hawa jamaaa
Sent using Jamii Forums mobile app
Bora huyo. Madalali je? Serikali inakosa mapato sana kwa madalali. Siwapendi kabisa hawa jamaaa
Sent using Jamii Forums mobile app