Hivi Chris Mauki, huwa analipa kodi kias gani kwa TRA kwa huduma ya ushauri anayoitoa ?

kyagata

JF-Expert Member
Oct 18, 2016
6,552
12,628
Wakuu.
Huwa namfuatilia huyu jamaa, na nimegundua anapiga pesa nyingi sana kwenye huduma zake za counselling anazozitoa.
So ningependa kujua TRA huwa wanachukua kodi kias gani kutoka kwake ?
 
Wakuu.
Huwa namfuatilia huyu jamaa, na nimegundua anapiga pesa nyingi sana kwenye huduma zake za counselling anazozitoa.
So ningependa kujua TRA huwa wanachukua kodi kias gani kutoka kwake ?
Samahani mkuu, naomba kujua jinsia yako kama hauto jali tafadhali.......
Maana Dahhhhh, unavinasaba vinavyo nipea mashaka sana
 
Bora huyo. Madalali je? Serikali inakosa mapato sana kwa madalali. Siwapendi kabisa hawa jamaaa

Sent using Jamii Forums mobile app
Ma Mc wote hakuna anayelipa kodi na wanapiga pesa ndefu kila wiki,nadhani uwekwe utaratibu walipe kodi ,kazi yao ni kushona vijisuti tu,siku hizi U Mc unalipa sana ndio maana wasomi wengi wamekimbilia kazi ya usherehekeshaji
 
Samahani mkuu, naomba kujua jinsia yako kama hauto jali tafadhali.......
Maana Dahhhhh, unavinasaba vinavyo nipea mashaka sana
hii ndio shida ya Watanzania,ukisema jambo la maana ambalo ni la manufaa kwetu sote tunaanza kuleta ujinga,kulipa kodi kwa kazi yoyote ile yenye ujira ni jambo la lazima ,hayo maendeleo na misaada tunayopata ni kodi za watu huko nje,halafu kwa ujinga wako wewe unaanza kumuona mwandishi hamnazo, wakati huko kijijini kwenu babu na bibi yako na nduguzo wengine wanakosa huduma sababu watu hawalipi kodi,tembea uone nenda ulaya ,marekani uone Mc au mtoa ushauri kama halipi kodi
 
Bongo hii bhana! Yaani huyo Jamaa sijawahi kumuelewa ata siku moja!
 
Back
Top Bottom