Hivi Chris Mauki, huwa analipa kodi kias gani kwa TRA kwa huduma ya ushauri anayoitoa ?

Wakuu.
Huwa namfuatilia huyu jamaa, na nimegundua anapiga pesa nyingi sana kwenye huduma zake za counselling anazozitoa.
So ningependa kujua TRA huwa wanachukua kodi kias gani kutoka kwake ?
Elewa kuwa umeisha mchongea tayari, watamuita aeleze kipato chake ili waanze kuchukua kodi yao!?
Pole Mtumishi Mauki.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
TRA wafuatilie maana kuna watu hua wanatoa hadi zaidi ya Milioni moja kushauriwa hivo alipe kodi maana anaingiza pesa nyingi sana


Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Back
Top Bottom