Hivi Chid Benz mnamuelewa vyema?

Jan 19, 2020
29
38
Nina furaha sana huwa nikimuona Chid anachokifanya kwa sasa, Maana tunajua vyema alipokua ametoka then akapata changamoto na sasa kasimama upya, sio rahisi.

Kama unatembelea mitandao ya Chid utakua unaona anafanya Promo ya his upcoming Album
inaitwa Watu Wangu.

Kingine ambacho ni changamoto, Ofcoz nasubiri Albuml lakini so far ngoma alizoachia kama
utangulizi aisee kiukweli mi nasikia makelele tu.

Energy anayo, Chid bado Chid lakini Audio Pro duction ni mbovu, Yaani kwa ufupi yeye uwezo
wake upo juu kuliko Studio anazofanyia kazi.

Ukitaka ujue kua ni makelele, Sikiliza ngoma alizofanya alafu kamalizie na ile ya Wanene chini
ya Gotcha! Majibu utajipa mwenyewe!

Hii Album mimi nasubiri kushangazwa tu maana kama Trailer ndio hivyo vipi kuhusu Movie kamili?

Let's wait and see!

official_chidibeenz-20211021-0001.jpg
 
Mkuu usiumize kichwa, hizo ngoma karekodi kupitia sim yake mwenyewe na sio studio kama unavyofikiria. Kwahiyo usishangae kusikia hivyo unavyosikia.
 
Yeye mwenyewe anazingua haandiki ngomaa anaingia studio nakuanza kufoka tu uwezo anao wakupiga mabanger kam zamn ila ndoivo ivo anafel.
 
Anapiga makelele tu,anahitaji mtu wa kumuedutia kabla hajarelease wimbo,anafeli sana.
 
Ila chid benz as long as yupo hi ntazidi kumrespect kwa zile kazi enzi zile yupo bado ajajivuruga....alikuwa mwamba haswa.
Huyu wa sasa ni chid kutoka alliens
 
Jirani... hellow Jiran punguza utani .' bonge la Songi ... Movie kwenye Meli sitishiki na kuzama .' Chid mtu mbadi
 
KWENDRAAAAA HUKO ....mannnah...

KAMA HUMUELEWI WEWE SIYO HADHIRA YAKE....

HUELEWI / HUMUELEWI ,WEWE SIYO MLENGWA
nenda kawashabikie machupli wenzak

au tafuta unayemwelewa ,, maana msanii cyo chidi benz pekee yake....

NB: TAFUTA MSANII UNAYEMWELEWA CYO LZM BENZINO.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom