Side Makini Entertainer
Member
- Jan 19, 2020
- 42
- 83
Nina furaha sana huwa nikimuona
Chid anachokifanya kwa sasa, Maana tunajua
vyema alipokua ametoka then akapata
changamoto na sasa kasimama upya, sio rahisi.
Kama unatembelea mitandao ya Chid utakua
unaona anafanya Promo ya his upcoming Album
inaitwa Watu Wangu.
Kingine ambacho ni changamoto, Ofcoz nasubiri
Albuml lakini so far ngoma alizoachia kama
utangulizi aisee kiukweli mi nasikia makelele tu.
Energy anayo, Chid bado Chid lakini Audio Pro
duction ni mbovu, Yaani kwa ufupi yeye uwezo
wake upo juu kuliko Studio anazofanyia kazi.
Ukitaka ujue kua ni makelele, Sikiliza ngoma
alizofanya alafu kamalizie na ile ya Wanene chini
ya Gotcha! Majibu utajipa mwenyewe!
Hii Album mimi nasubiri kushangazwa tu maana
kama Trailer ndio hivyo vipi kuhusu Movie kamili?
Let's wait and see!