Hivi Cheti Kinaweza Tumika Mara 2??

Hivi Cheti Kinaweza Tumika Mara 2??

BUMIJA

JF-Expert Member
Joined
Oct 19, 2011
Posts
6,182
Reaction score
11,782
Kuna Jamaa Angu Ameajiriwa Ualimu Mwaka Jana Na Alimaliza Sauti Mtwara.Kuna Jamaa Kaja Kaja Anataka Amuazime Cheti Chake Cha Kidato Cha 4 Ili Apate Kazi.Jamaa Kasema Anatoa Million Moja Na Jamaa Amekataa Kwa Kuhofia Ajira Yake Kwa Sasa.Je Kama Angekubali Ni Madhara Gani Yangetokea Wadau...
 
aisee kama jamaa anataka chet mwambie aje achukue chakwangu anipe iyopesa maana kila nikifuatilia chuo cpata huu mwaka wa pili so nimeamua nikiuze nifanye biasha pls kama vp ni pm
 
Cha Form 4?
 
Back
Top Bottom