Hivi CHADEMA mngetoa wapi mawaziri ile 2015?

Crimea

JF-Expert Member
Joined
Mar 25, 2014
Posts
26,656
Reaction score
38,342
Nimeambiwa pale hakuna wa kuongoza CHADEMA kama mwenyekiti zaidi ya Mbowe! Huenda ndio maana walimkopa Lowassa toka CCM awe mgombea wao wa urais.

Najaribu kuwaza kama CHADEMA hawana tu mtu wa kuwa mwenyekiti wa chama chao,
Je, ile 2015 wangeshinda urais wangetoa wapi watu wa kuwa mawaziri na mabalozi?

Juzi nilimsikia Seif akisema yeye ndio alieilea CUF na siyo CUF kumlea Seif.

Kumbe wakati CCM mtu anaegemea kwa chama wao wapinzani chama ndio kinaegemea kwa Mtu.

Nikapata jibu kwamba, hivi vyama vya upinzani kumbe havipo kama taasisi bali ni tu vikundi vya watu flani chini ya watu flani na hao watu flani wakiondoka na hivyo vikundi ndio kwa heri.

"Jf tudumishe uhuru wa maoni ili tuwe mfano. Na kwa sababu hiyo huu uzi usiunganishwe wala kufutwa"
 
Mbona ccm inalelewa na polisi lakini umenyamaza ?
 
Kuna watu usio wajue wewe wako ndani ya Chadema wana vigezo zaidi ya mawaziri unaowafahamu wewe,usidhani chadema ni hawa unaowafahamu mkuu kwani CCM kina mwita ulikuwa unajua atakuwa Waziri ndani ya Serikali ya CCM?
 
Sasa mbona kwa mwenyekiti wanasema hakuna kama Mbowe?
 
Nimeambiwa pale hakuna wa kuongoza CHADEMA kama mwenyekiti zaidi ya Mbowe! Huenda ndio maana walimkopa Lowassa toka CCM awe mgombea wao wa urais.

Najaribu kuwaza kama CHADEMA hawana tu mtu wa kuwa mwenyekiti wa chama chao,
Je, ile 2015 wangeshinda urais wangetoa wapi watu wa kuwa mawaziri na mabalozi?

Juzi nilimsikia Seif akisema yeye ndio alieilea CUF na siyo CUF kumlea Seif.

Kumbe wakati CCM mtu anaegemea kwa chama wao wapinzani chama ndio kinaegemea kwa Mtu.

Nikapata jibu kwamba, hivi vyama vya upinzani kumbe havipo kama taasisi bali ni tu vikundi vya watu flani chini ya watu flani na hao watu flani wakiondoka na hivyo vikundi ndio kwa heri.

"Jf tudumishe uhuru wa maoni ili tuwe mfano. Na kwa sababu hiyo huu uzi usiunganishwe wala kufutwa"
Mbona Magufuli kamuona Waitara anafaa kuliko akina Nape, Mwigulu na Ma-ccm wengine?

Waitara 2015 alikuwa CCM?
 
Lowasa aliahidi kuwaletea rasilimali watu kutoka CCM akina Guninita!

Halafu mtu anaamini CDM itakuwa na jipya ikishika dola,huo ni zaidi ya uwendawazimu.
 
Mbona ccm inalelewa na polisi lakini umenyamaza ?
Tumia akili; hoja ni kwamba, chama kama taasisi kinalelewa na mtu binafsi. Kwa maana nyingine, mtu anakuwa na nguvu kuliko taasisi. Sasa wewe unasema CCM kinalelewa na polisi; hata hivyo unachosema hakina ukweli. Hata kingekuwa kweli, polisi ni taasisi na sio mtu binafsi, hivyo tumia mifano inayorandana na hoja.
 
Kwakuwa polisi ni taasisi basi ni halali kuibeba ccm. Magufuli bado ana kadi ya NCCR-MAGEUZI, unalijua hilo?
 
Nimeambiwa pale hakuna wa kuongoza CHADEMA kama mwenyekiti zaidi ya Mbowe! Huenda ndio maana walimkopa Lowassa toka CCM awe mgombea wao wa urais.

Najaribu kuwaza kama CHADEMA hawana tu mtu wa kuwa mwenyekiti wa chama chao,
Je, ile 2015 wangeshinda urais wangetoa wapi watu wa kuwa mawaziri na mabalozi?

Juzi nilimsikia Seif akisema yeye ndio alieilea CUF na siyo CUF kumlea Seif.

Kumbe wakati CCM mtu anaegemea kwa chama wao wapinzani chama ndio kinaegemea kwa Mtu.

Nikapata jibu kwamba, hivi vyama vya upinzani kumbe havipo kama taasisi bali ni tu vikundi vya watu flani chini ya watu flani na hao watu flani wakiondoka na hivyo vikundi ndio kwa heri.

"Jf tudumishe uhuru wa maoni ili tuwe mfano. Na kwa sababu hiyo huu uzi usiunganishwe wala kufutwa"

Soma historia ya TAA....utagundua kuwa ilikuwa hivyohivyo miaka karibu ishirini na tano ya mwanzoni mpaka pale Nyerere alipotumia nguvu kuibadilisha na kuwa TANU.....vyama vyovyote vichanga huwa hivyo. Usilinganishe ccm ambacho ni descendants wa TAA, TANU kisha TANU na ASP na vyama vilivyoanzishwa juzi miaka ya tisini japo vina maono kuliko hicho kikongwe maana hata rais japo hasemi anaogelea katika ilani na hoja za vyama hivi vichanga.
 
Mimi nishajiuliza hata hiyo 2020 pale chadema nanii mgombea urais??

Kila nikiangalia sioni

We ni mgonjwa wa akili. Hivi unaona watu/watanzania wanaoweza kuwa mawaziri wako CCM tu? Na hao mawaziri wa CCM wametufisha wapi mpaka sasa. Usikubali ubongo uoze sababu ya mahaba ya chama!!!!
 
Nimeambiwa pale hakuna wa kuongoza CHADEMA kama mwenyekiti zaidi ya Mbowe! Huenda ndio maana walimkopa Lowassa toka CCM awe mgombea wao wa urais.

Najaribu kuwaza kama CHADEMA hawana tu mtu wa kuwa mwenyekiti wa chama chao,
Je, ile 2015 wangeshinda urais wangetoa wapi watu wa kuwa mawaziri na mabalozi?

Juzi nilimsikia Seif akisema yeye ndio alieilea CUF na siyo CUF kumlea Seif.

Kumbe wakati CCM mtu anaegemea kwa chama wao wapinzani chama ndio kinaegemea kwa Mtu.

Nikapata jibu kwamba, hivi vyama vya upinzani kumbe havipo kama taasisi bali ni tu vikundi vya watu flani chini ya watu flani na hao watu flani wakiondoka na hivyo vikundi ndio kwa heri.

"Jf tudumishe uhuru wa maoni ili tuwe mfano. Na kwa sababu hiyo huu uzi usiunganishwe wala kufutwa"

Huo uwaziri mbona kidogo? Kwa taarifa yako acha uwaziri tu, kwa hapa Tanzania mtu yoyote mwenye akili timamu anaweza kuwa rais wa nchi hii sembuse uwaziri? Kazi ambayo JK na Magufuli wamefanya nani atashindwa? Nini uwaziri?
 
Sasa mbona kwa mwenyekiti wanasema hakuna kama Mbowe?

Hakuna mgombea yoyote ambaye hana watu wa kumpigania, hayo ni mambo ya kawaida sana kwenye siasa, labda kama hujui siasa ni nini.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom