HakikaWanachezea pesa za walipa kodi.......wezi watupuuuu.....wapiga deal.....
KabisaHizo pesa eti bilioni 80 wanazodai zilichangwa kuwasaida kwenye uchaguzi ambao haupo kwa nini wasiziundie mfuko maalum wa bima zisaidie wananchi kupata huduma za afya ambazo ni kama hazipo nchini.
Ni kweli wakati kuna shida nyingi kwa wananchiHaya ni matumizi mabaya ya pesa za walipa kodi
Mshasahau kuwa lissu hakuutaka uchaguzi, kweli nyi nyumbuSijui alitaka Lisu afanye kampeni akiwa magereza
Hao ni misukule.sasa hivi imeshikiwa akili na polepole na gwajima.Mshasahau kuwa lissu hakuutaka uchaguzi, kweli nyi nyumbu
Saa 100 Vs Majuma Vs Salum khaaas aibuuuuuHakika
Wanashindana na upepoWanajamvi
Kama kichwa cha uzi kinavyosema
Hivi kweli bila kupepesa macho wala unafiki CCM inayojinasibu kuwa ni wakubwa na wana wafuasi wengi wanakwenda kushindana na chama gani????
Ni kipi kitawafanya wajivunie ushindi?
Binafsi naona aibu
Nasoma comment.