Hivi ccm mmehararisha rushwa?

mgoli magombe

Senior Member
Apr 20, 2013
121
27
Ndugu wana jf, huku kwetu Gezaulole hasa hasa katika mtaa wa mwera Tanesco hawataki kabisa kutuwekea umeme na badala yake mwaka jana mwezi wa 12 watu wakachanga hela zao ili wampelekee meneja wa Tanesco kigamboni ili zile pesa ziwalipe wale watu watakao fanya kazi ya kutandaza nguzo na nyaya za umeme hapa Gezaulole mtaa wa mwera, basi wakaja na nguzo kwa kasi na wakatuahidi kuwa kabla ya christimas tutakuwa tumepata umeme basi zile hela tulizochanga tukampa meneja, mpaka sasa ninavyoandika post hii tumebaki na nguzo tu zilizotandaazwa na jamaa wakasepa, eti tena meneja anatuambia tuongee kikubwa kwa mara nyingine. Hv Rushwa tawisha lini? ccm mtachie nchi etu. Na kama huu mtaa unavyoendelea kuongozwa na makamanda chadema na mwaka huu tena makamanda kama kawa.
 
Back
Top Bottom