Hivi bongo nako watoto wameshafikia kiwango hiki!

Deodat

JF-Expert Member
Sep 18, 2008
1,274
272
Naona siku hizi na mambo ya utandawazi watoto wameanza kujua mambo makubwa wakiwa wadogo kabisa. Sasa mwangalie huyu anavyoangalia nyonyo kwa jicho la tamaa utafikiri "akipewa" ataweza vile.
 
Attachments

  • 857-happy-bday[1].jpg
    857-happy-bday[1].jpg
    14 KB · Views: 351
mawazo ya mwanadamu asiyemjua Mungu siku zote ni machafu, chochote aonacho yeye huwaza mabaya. hapo anayeshangaa siyo huyo mtoto, ni wewe ambaye pengine kuna roho ya uzinzi inakutafuna. kuna siku moja kiburi cha wanadamu wote wanaomkataa Mungu kitaisha, pale dunia itakapokunjwa kama karatasi la mkononi, kila mtu atauchukua mzigo wake mwenyewe, kila mtu atalichukua furushi lake mwenyewe, kila mtu aipime kazi yake mwenyewe, Mungu awasaidie.
 
Huhitaji mungu kuikunja dunia kama karatasi la mkononi, the forces of nature are sufficient for that. And entropy as espoused in the second law of thermodynamics dictates that one day not only the earth, but also the entire universe, must fold.

So there you are, you do not need to invoke god in an old testament prophecy like diatribe to scare people, nature is scary enough. Luckily we have time, or so it appears. That is unless we nuke ourselves out or get hit by some funky asteroid, to say nothing of global warming.
 
Huhitaji mungu kuikunja dunia kama karatasi la mkononi, the forces of nature are sufficient for that. And entropy as espoused in the second law of thermodynamics dictates that one day not only the earth, but also the entire universe, must fold.

So there you are, you do not need to invoke god in an old testament prophecy like diatribe to scare people, nature is scary enough. Luckily we have time, or so it appears. That is unless we nuke ourselves out or get hit by some funky asteroid.

so you mean you don't recognise God's power, but earthly nature? where you created by nature? you know that god holds your breath this time you are speaking?
 
Naona siku hizi na mambo ya utandawazi watoto wameanza kujua mambo makubwa wakiwa wadogo kabisa. Sasa mwangalie huyu anavyoangalia nyonyo kwa jicho la tamaa utafikiri "akipewa" ataweza vile.

Rudi shuleni ukasome tena somo la jiografia mada ya MAP READING AND PHOTOGRAPH. Huyo mtoto anamwangalia mtu ambaye hayupo hapo katika hiyo picha lakini yupo pembeni mbali kidogo na huyo dada anayekata keki kusherehekea siku ya kuzaliwa kwake.
Unaacha kuwaza vitu vya maendeleo wee unawaza ngono tu, mwanahizaya mkubwa wee, USHINDWE NA ULEGEE KWA JINA LA BWANA ALIYENENA NA MUSSA KATIKA MLIMA SINAI.
 
so you mean you don't recognise God's power, but earthly nature? where you created by nature? you know that god holds your breath this time you are speaking?

Hehehe,

Bible thumpers are a funny lot.

Nyumbani kwetu kila mtu alikuwa mfuasi sugu wa dini za kikristo na ilikuwa unthinkable kuwa mwanadamu aweza kukana hadharani kuwa mungu yupo. Lakini nilipokomaa, I started asking myself very fundamental questions as to why I should continue believing in a supernatural being when he has never shown interest in my affairs. He has never appeared to me in person, or even in my dreams.

Jambo la kushangaza ni idadi ya watu ambao wanaogelea kwa huu upotofu eti kuna mungu ambaye huangalia kila tufanyalo (6 billion people) na wale ambao hawataomba toba watachomwa na moto wa milele na milele. Nadhani hii ilikuwa mbinu moja tu ya Societal control. If people think someone is watching over them, they will not do evil/bad things. To that extent, I think religion has had positive effects. But thats not a good enough reason why the god myth should be perpetuated. Morals exist outside religion, and I don't need religion to tell me that sex with many people is not a smart choice, or that being corrupt is harmful to the society.

Does god exist? I really don't know. I don't believe he does. there is no reason to believe he exist, and I've never come across one single reason. There is no supernatural power that can answer prayer, no power that worship can persuade or change, no power that cares for man. One thing I do know, and that is, that neither hope, nor fear, belief, nor denial, can change the fact. It is as it is, and it will be as it must be.
 
Rudi shuleni ukasome tena somo la jiografia mada ya MAP READING AND PHOTOGRAPH. Huyo mtoto anamwangalia mtu ambaye hayupo hapo katika hiyo picha lakini yupo pembeni mbali kidogo na huyo dada anayekata keki kusherehekea siku ya kuzaliwa kwake.
Unaacha kuwaza vitu vya maendeleo wee unawaza ngono tu, mwanahizaya mkubwa wee, USHINDWE NA ULEGEE KWA JINA LA BWANA ALIYENENA NA MUSSA KATIKA MLIMA SINAI.

Mbona unatumia nguvu nyingi kufikisha ujumbe mdogo sana?
 
mawazo ya mwanadamu asiyemjua Mungu siku zote ni machafu, chochote aonacho yeye huwaza mabaya. hapo anayeshangaa siyo huyo mtoto, ni wewe ambaye pengine kuna roho ya uzinzi inakutafuna. kuna siku moja kiburi cha wanadamu wote wanaomkataa Mungu kitaisha, pale dunia itakapokunjwa kama karatasi la mkononi, kila mtu atauchukua mzigo wake mwenyewe, kila mtu atalichukua furushi lake mwenyewe, kila mtu aipime kazi yake mwenyewe, Mungu awasaidie.

Unatumia nguvu nyingi mpaka unaandika vitu ambavyo hata biblia haijasema. Uovu uko wapi? kwani watoto siku hizi hawajiingizi kwenye ngono wakiwa bado wadogo? si kweli kwamba porno films zimeharibu vichwa vya watoto wengi tu? Kwamba mimi nina roho ya uzinzi na simjui Mungu kwa vile tu nimesema siku hizi watoto wanaharibikiwa mapema basi naomba kaka (au dada) uniongoze sala ya toba online. Lakini kikubwa ni kujadili mmonyoko wa maadili na namna ya kutatua, usipoteze muda wako kujua kama mimi namjua Mungu au la.
 
Rudi shuleni ukasome tena somo la jiografia mada ya MAP READING AND PHOTOGRAPH. Huyo mtoto anamwangalia mtu ambaye hayupo hapo katika hiyo picha lakini yupo pembeni mbali kidogo na huyo dada anayekata keki kusherehekea siku ya kuzaliwa kwake.
Unaacha kuwaza vitu vya maendeleo wee unawaza ngono tu, mwanahizaya mkubwa wee, USHINDWE NA ULEGEE KWA JINA LA BWANA ALIYENENA NA MUSSA KATIKA MLIMA SINAI.
Hivi mwanaizaya ndo mtu wa aina gani? seems like a nice name to me!
 
Back
Top Bottom