Hivi Bongo kumbe Hali Mbaya namna hii!!!!

Do! bora umezungumzia maji mmenikumbusha juzi nilivyoshushuliwa na wataalamu wa kilimo kuhusu ukame na naomba niwashirikishe machache ninayoyakumbuka japo hapoa sio sehemu yake lakini naomba niungeunge hivyo hivyo.
cha kwanza tukukubali kuwa nchi yetu sio kame ila hatujafanya juhudi za kutosha kuepukana na hali hii. watu wetu au wataalamu wetu hawajatoa mafunzo ya kutosha ya kuwasaidia watu ili waweze kutumia maji hayo vizuri.
pili mipango mingi ya kilimo ya serikali haiwashirikishi vizuri wataalamu na matokeo yake kupata matokeo mabaya.
tatu tutegemee kuchoka kwa ardhi (ardhi isiyofaa kwa kilimo kabisa) kwa kujipendekeza kutumia mbolea za viwandani na kuacha mbolea za asili ardhi yetu inahitaji kurutubishwa upya kwambolea yetu ya asili.mwisho tutifue ardhi yetu kam ikiwezekana kwa angalau futi moja na tuweke mbolea ya asili na tutaona mafanikio yake kwa kifupi sana hivyo ndo nilivyosutwa na niaambiwa nchi yenye mvua kidogo mm200 lakinii inaongoza kwa kilimo cha zabibu na machungwa.
 
Back
Top Bottom