Hivi bomba7 ni limited bundle au unlimited? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Hivi bomba7 ni limited bundle au unlimited?

Discussion in 'Tech, Gadgets & Science Forum' started by elmagnifico, Oct 10, 2011.

 1. elmagnifico

  elmagnifico JF-Expert Member

  #1
  Oct 10, 2011
  Joined: Jul 7, 2011
  Messages: 7,913
  Likes Received: 7,459
  Trophy Points: 280
  Juzi nlikuwa naptia thread flan nikaona mchangiaj flan anaongelea kuhusu voda kuwa wana huduma ya internet bundle ijulikanayo kama bomba7 ambayo ni elfu kum kwa wiki na akadai ni unlimited. Jana nkajiunga na hyo huduma nika dwnload game ya need for speed mst wantd ambalo lilikuwa katka 4mat ya iso kikiwa na gb 2.84, pia nika dwnload msft ofice 2010 nadhani ina mb kama 900, then kabla ya kulala nkaacha comp ina dwnload universal xp drivers ina gb 1.8 asubuh nayo nikakuta tayari yan nkafurah. Lakin pia nikakuta msg kuwa. You have reached the limit of 3g. Na kila nkijaribu fungua any page kwenye internet haifunguk ina search kwa mda mrefu lakin haifunguki. Sasa cjaelewa au iko limited
   
 2. Bushbaby

  Bushbaby JF-Expert Member

  #2
  Oct 10, 2011
  Joined: Dec 29, 2010
  Messages: 1,577
  Likes Received: 80
  Trophy Points: 145
  Ukijumlisha hizo data zinakuwa 5.6Gb sasa hiyo 3Gb inatoka wapi tena? itakuwa ni limited ndo maana uliweza kushusha vitu vyote hivyo coz unlimited hata hiyo office 2010 yenyewe ingechukua wiki kushuka huwa wanabana bandwidth sana
   
 3. Kang

  Kang JF-Expert Member

  #3
  Oct 10, 2011
  Joined: Jun 24, 2008
  Messages: 5,123
  Likes Received: 619
  Trophy Points: 280
  @BushBaby Limit ya 3G sio limit ya 3GB.
  Wanasema ina fair use limit so nadhani 6 GB down (plus kama ulikuwa unatumia torrents nadhani unaweza ukawa umekula kama 10 total) kwa wiki sio mbaya kama fair use.
  Hiyo ni bomba7 au spidi7? maana spidi ni kubwa sana umepata kwa bomba7.
   
 4. bigboi

  bigboi JF-Expert Member

  #4
  Oct 10, 2011
  Joined: Sep 25, 2010
  Messages: 469
  Likes Received: 406
  Trophy Points: 80
  Jamni kwa wanaotumia tigo package ya standard month ile ya elfu 45000 waakupa gb ngapi ! Au ni unlimited msaada plss soon
   
 5. elmagnifico

  elmagnifico JF-Expert Member

  #5
  Oct 10, 2011
  Joined: Jul 7, 2011
  Messages: 7,913
  Likes Received: 7,459
  Trophy Points: 280
  Bas nishawaela wakuu coz msg nayopata ni kwamba nimefkia limit ya 3g ambapo nime2mia 5989 mbs, nadhan inakaribia 6gb. Lakn ts fair kwa cpd na kwa mzgo wenyewe
   
 6. sijui nini

  sijui nini JF-Expert Member

  #6
  Oct 10, 2011
  Joined: Sep 29, 2010
  Messages: 2,382
  Likes Received: 306
  Trophy Points: 180
  ipo limited wadau ...ukiweka bomba 7 unapewa kwanza MB700 at top speed then baada ya hapo wanakushushia speed hadi 64kbps mpaka utakapomaliza mda wako (siku 7) sasa kwa spidi hiyo unaweza kudownload ukiwa unatumia download manager au torrents na pia ku surf sometimes inakuwa slow sana sometimes inatulia...
   
 7. bigboi

  bigboi JF-Expert Member

  #7
  Oct 10, 2011
  Joined: Sep 25, 2010
  Messages: 469
  Likes Received: 406
  Trophy Points: 80
  Jamni kwa wanaotumia tigo package ya standard month ile ya elfu 45000 waakupa gb ngapi ! Au ni unlimited msaada plss soon
   
 8. nxon

  nxon JF-Expert Member

  #8
  Oct 10, 2011
  Joined: Jul 16, 2011
  Messages: 1,149
  Likes Received: 85
  Trophy Points: 145
  niliunganisha bomba7 kipindi cha Ramadhani mwezi wa tisa hadi leo hii bado naitumia na nimedownload vitu vingi sana
   
 9. Bei Mbaya

  Bei Mbaya JF-Expert Member

  #9
  Oct 10, 2011
  Joined: Nov 24, 2010
  Messages: 2,265
  Likes Received: 226
  Trophy Points: 160
  wanachaji sh. ngap hiyo bomba7?
  na kifurushi cha bei rahisi kwa mobile sh. ngapi voda?
   
 10. Hamiyungu

  Hamiyungu JF-Expert Member

  #10
  Oct 11, 2011
  Joined: Sep 9, 2009
  Messages: 342
  Likes Received: 156
  Trophy Points: 60
  mjomba tafadhari nielekeze nawezaje ku download hili game la need for speed most wanted?maana kila niki download inakuja fupi tu ambayo ni demo.
   
 11. sijui nini

  sijui nini JF-Expert Member

  #11
  Oct 11, 2011
  Joined: Sep 29, 2010
  Messages: 2,382
  Likes Received: 306
  Trophy Points: 180
  mkuu siku zote ukitaka software yoyote full version nenda kwenye torrents site yoyote but zilizo maarufu ni hizi
  Download music, movies, games, software! The Pirate Bay - The world's most resilient BitTorrent site
  http://www.kat.ph/
  humo unaweza pata software yoyote ila tu ikatkubidi uinstall hii kitu UTORRENT(search google) ka software flani hivi kadogo tu (kama 600kb hivi) ambacho ndo kanakusaidia kudownload hizo software utakazo sasa kutoka kwenye hizo site nlizokupa na nyinginezo utakazopata huko mbeleni..
   
 12. sijui nini

  sijui nini JF-Expert Member

  #12
  Oct 11, 2011
  Joined: Sep 29, 2010
  Messages: 2,382
  Likes Received: 306
  Trophy Points: 180
  mi niliunga bomba 30 naona nina miezi miwili sasa haijakata bado pia...
   
 13. elmagnifico

  elmagnifico JF-Expert Member

  #13
  Oct 11, 2011
  Joined: Jul 7, 2011
  Messages: 7,913
  Likes Received: 7,459
  Trophy Points: 280
  vp spd mim after kufka limt ya gb kama 6 imekuwa xo slow
   
 14. sijui nini

  sijui nini JF-Expert Member

  #14
  Oct 11, 2011
  Joined: Sep 29, 2010
  Messages: 2,382
  Likes Received: 306
  Trophy Points: 180
  speed kwangu mara chach sana ndo inatokea inakuwa slow kupita kias (imentokea kama mara tatu tu hivi) ila zaidi ya hapo mwendo mdundo...!
   
 15. Hamiyungu

  Hamiyungu JF-Expert Member

  #15
  Oct 11, 2011
  Joined: Sep 9, 2009
  Messages: 342
  Likes Received: 156
  Trophy Points: 60
  thanx a lot,nimekupata vizuri.thanx man
   
 16. d

  deedee Member

  #16
  Oct 11, 2011
  Joined: Sep 19, 2010
  Messages: 97
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 15
  bomba7 ni unlimited..ukipata speed ndogo ni kwa muda mfupi tuuu...ila mimi natumia hyo sana tuuu...full online in PSN na ku-download demos and gamepacks kwenye ps3 na haijakata hii week ya 3.
   
 17. g.n.n

  g.n.n JF-Expert Member

  #17
  Oct 12, 2011
  Joined: Oct 8, 2010
  Messages: 413
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  Torrents ndo mpango mzima
   
 18. Lussadam

  Lussadam JF-Expert Member

  #18
  Oct 12, 2011
  Joined: Oct 13, 2007
  Messages: 1,051
  Likes Received: 386
  Trophy Points: 180
  BOMBA7 ni TZS 10,000 kwa siku 7. Ni unlimited but utadownload mpaka 750MB kwa speed ya juu then baada ya hapo utadownload kwa mwendo wa 64kbps . Na pia kwa BOMBA30 ni TZS 30,000 kwa siku 30. Hii ni unlimited but unadownload mpaka 2.5GB kwa speed ya juu then baada ya hapo utadownload kwa mwendo wa 64kbps.
   
 19. d

  deedee Member

  #19
  Oct 12, 2011
  Joined: Sep 19, 2010
  Messages: 97
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 15
  mkuu hiyo 64kbps ni danganya toto, inafika hadi 1mbps, kama ni 64kbps haikaii zaidi ya dakika chache
   
 20. Mzee wa Rula

  Mzee wa Rula JF-Expert Member

  #20
  Oct 12, 2011
  Joined: Oct 6, 2010
  Messages: 8,177
  Likes Received: 89
  Trophy Points: 145
  Hiyo ni danganya toto yaani ukiwa nje ya mji kidogo ndiyo shida kabisa.
   
Loading...