ibesa mau
JF-Expert Member
- Sep 17, 2015
- 2,109
- 1,697
Watu wengi tumekuwa washabikii wakubwa wa soka la ndani na nje ya Tz.
Lakini wengi wetu hatujui mshindi wa uefa huwa anabeba kitita cha paundi ngapi, Hali kadharika bingwa wa epl yeye anabeba paundi ngapi vilevile bingwa wa FA na Culling cup wao pia .
Tunaomba wenye vyanzo vya uhakika waje watujuze ambao hatufahamu ili tujue kuna wakati tunakaa tunabishana kwenye kumbi bila ya kuwa na vyanzo vya uhakika .Wapo watu wanao dai bingwa wa Fa anapata fedha nyingi kuliko wa epl, kwa hiyo wekeni ukweli hapa