johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 84,694
- 143,123
Vijana ndio injini ya siasa za nchi yoyote ile duniani
Hapa Tanzania taasisi mashuhuri za vijana ni UVCCM na wadogo zao Bavicha
Lakini kwa muda sasa hizi taasisi ziko kimya hata viongozi wao hawajulikani.
Kulikoni Vijana?