Hivi Badra kaamua kumaliza kazi kwa matangazo uharo TANESCO?

OgwaluMapesa

JF-Expert Member
May 24, 2008
10,942
428
Wanajamvi nashangazwa na haya matangazo lukuki toka tanesco kwenye tv? Hivi huyo badra masoud anayeidhinisha matangazo haya wakati kazi yake imetangazwa na wakati akijua hatuna umeme wa uhakika ana nia gani? Je ni kutafuna fedha za mwisho mwisho ama ni ufisadi? Tujadili
 
Kazi ya kuzalisha umeme ikikushinda ni vizuri ukaja na move nyingine kama hiyo kujirusha hewani kila wakati ili watu wasahau mgao
 
kUTAngaza ni formality, si ajabu ameshasaini mikataba mingine toka January!
Biashara matangazo Jomba!
 
Huyu Badra ni miongoni mwa watu wasio na uwezo na kazi anayofanya tutashukuru akifungasha virago
 
Back
Top Bottom