Saa 7 mchana
JF-Expert Member
- Dec 30, 2018
- 6,553
- 13,001
Ni muda sasa umepita toka nipate kipaimara, pia nadhani ndio ilikua Mara yangu yamwisho kutinga church. Ivo nataka kujua kuwa watu bado uungama kama zamani au kunamabadililiko yashafanyika ?