WilsonKaisary
JF-Expert Member
- Apr 4, 2017
- 392
- 951
Ni takribani mwaka Sasa toka utoaji wa vitambulisho kwa gharama ya 20,000 tu. Na Mhe Raisi kutoa tamko kuwa watu Hawa wamachinga hawatokuwa wakikwata Kodi wakishalipa na kupata 20,000 hiyo.
Lakini kwa Sasa TRA na maafisa kata na wa vijiji wanakuja wanadai ushuru, Sasa tunashindwa kuelewa hapa.
Au lilikuwa tamko la mwaka mmoja tu? Na sio endelevu tena?